Hapa utakuta ni kisa demu tu mshakaji anafanya maamuzi haya ya kufurahisha wengine

Kuliko kwenda kupakatwa na kidune Ibrahimu kama Lazaro,alivyopakatwa na kidume Ibrahim
Hayo tuyaache Mkuu

Muhimu tuzidi kufanya ibada, maana hatujui siku Wala saa ambayo tutatwaliwa kutoka kwenye hii Dunia
 
Kaona upande alipo hakueleweki. Wachungaji mara mbinguni kuimba na kukata viuno mwanzo mwisho, biblia imeandikwa watapata wake 100 sasa sijui kwa ajili ya kukata viuno na kuimba. ..
 
Kaona upande alipo hakueleweki. Wachungaji mara mbinguni kuimba na kukata viuno mwanzo mwisho, biblia imeandikwa watapata wake 100 sasa sijui kwa ajili ya kukata viuno na kuimba. ..
View attachment 3462686
Wachache sana wanabadili hizi dini kwa sababu wamezisoma wakazielewa mara nyingi sababa huwa ni wanawake au kupata favor fulani ya kimaisha.
 
Acha porojo
 
Kuna mtu aliwahi kusema,ndagu zinapishana sana na imani ya kikristo,kwenye ulimwengu wa sanaa au matumizi ya vipaji tulivyojaaliwa,kuna mambo ya giza sana.
Kama wewe sio mshirika na pia una imani robo lazima likukute jambo,lah sivyo jiunge na wengi kama huyu,barnaba,mzize,whozu nk.
 
Kaona upande alipo hakueleweki. Wachungaji mara mbinguni kuimba na kukata viuno mwanzo mwisho, biblia imeandikwa watapata wake 100 sasa sijui kwa ajili ya kukata viuno na kuimba. ..
View attachment 3462686
Mbona hamna wake 100 hapo,soma taratibu bana nawewe usije ukasilimu maana wanawake wa duniani kule fildaus hamna chenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…