Hapa Vwawa kwa akina Lucas Mwashambwa panachekesha sana

Hapa Vwawa kwa akina Lucas Mwashambwa panachekesha sana

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
1.Mijanaume na nguvu zao kabisa imevaa t-shirt za ccm.

2.saa 7 mchana wa jua kali mtu kavaa rain boots.

3.Chadema office zao zimefungwa nasikia ni mwezi wa nne huu sasa eti wameahindwa kulipa kodi ya pango ambayo ni elfu 15 kila mwezi

4.Maji ni changamoto

5.kuna lodge za hadi elfu 5 mpaka karne hii ya 21.

5.Kuna shida ya maji balaa

6.vumbi sio la nchi hii

7.mji umepoa balaa

8.ukiwa mgeni utajulikana tu.

9 Muda mwingi umeme umekatika

10.wanawake hawajui kupika
 
Jirani kwa kina ChoiceVariable
 
Aaah umenikumbusha mbali mitaa ya Vwawa, ichenjezya, mlowo 😂😂😂 hawana baya wanetu.
 
1.Mijanaume na nguvu zao kabisa imevaa t-shirt za ccm.

2.saa 7 mchana wa jua kali mtu kavaa rain boots.

3.Chadema office zao zimefungwa nasikia ni mwezi wa nne huu sasa eti wameahindwa kulipa kodi ya pango ambayo ni elfu 15 kila mwezi

4.Maji ni changamoto

5.kuna lodge za hadi elfu 5 mpaka karne hii ya 21.

5.Kuna shida ya maji balaa

6.vumbi sio la nchi hii

7.mji umepoa balaa

8.ukiwa mgeni utajulikana tu.

9 Muda mwingi umeme umekatika

10.wanawake hawajui kupika
Kumbe Lucas mshamba bado anakaa kwenye nyumba za nyasi kule Ilengo?
 
Fanya kilichokupeleka kisha rudi haraka Una gubu kama unadai talaka.

Sasa Gest ya buku 5 inakushangaza nini unadhani watanzania tunafanana Hali zetu kiuchumi.

Kuvaa t shirt za CCM kosa liko wapi?
 
1.Mijanaume na nguvu zao kabisa imevaa t-shirt za ccm.

2.saa 7 mchana wa jua kali mtu kavaa rain boots.

3.Chadema office zao zimefungwa nasikia ni mwezi wa nne huu sasa eti wameahindwa kulipa kodi ya pango ambayo ni elfu 15 kila mwezi

4.Maji ni changamoto

5.kuna lodge za hadi elfu 5 mpaka karne hii ya 21.

5.Kuna shida ya maji balaa

6.vumbi sio la nchi hii

7.mji umepoa balaa

8.ukiwa mgeni utajulikana tu.

9 Muda mwingi umeme umekatika

10.wanawake hawajui kupika
Pamoja na kwamba umeweka chumvi Zenye harufi ya chuki ila najiuliza,Je ni

-Wapi hakuna hayo uliyoyataja hapa Tanzania? Labda Dar na Dom kwingineko Kuna wasukuma na Masai wataachaje kuvaa hizo rain boots?

-Hata daa zipo Guests za buku 5,sema huna pesa ndio unaenda kulala za bei hiyo.

-Ulitaka wavae T-shirt za Chadomo? Mbona wewe unavaaga za kibaraka Lisu?

-Maji ni Changamoto Baadhi ya sehemu tuu tena sio huko tuu pengine Hadi huko kwenu ambako hukutaji.

-Kwenu ni wapi huko ambako Kuna lami balaa?

-Ni wapi ambao Mji ni WA moto kiasi kwamba huku ulilopoa wanalala na njaa?

-Kwa huo ushamba wako Kwa nini usijulikane kwamba wewe ni wa kuja?

-Kawapikie wewe

-Ungeuliza Je Kuna miradi ya maji na umeme ya kutatua hizo Changamoto?

Samia yupo Kwa Ajili ya kutatua hizo Changamoto 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DHaTgVqCHpY/?igsh=MWM0aGFqandwYW5lMA==

View: https://www.instagram.com/p/DHbPOGzCZnr/?igsh=MXY2ZjE1b3VlOWE2Yg==
 
Pamegoma kupigwa PICHA.
KAZI ni kipimo cha utu
 
1.Mijanaume na nguvu zao kabisa imevaa t-shirt za ccm.

2.saa 7 mchana wa jua kali mtu kavaa rain boots.

3.Chadema office zao zimefungwa nasikia ni mwezi wa nne huu sasa eti wameahindwa kulipa kodi ya pango ambayo ni elfu 15 kila mwezi

4.Maji ni changamoto

5.kuna lodge za hadi elfu 5 mpaka karne hii ya 21.

5.Kuna shida ya maji balaa

6.vumbi sio la nchi hii

7.mji umepoa balaa

8.ukiwa mgeni utajulikana tu.

9 Muda mwingi umeme umekatika

10.wanawake hawajui kupika
picha choo cha mwashambwa au anapuu polini
 
Back
Top Bottom