GE2025 Hapana shaka kutakuwa na maandamano makubwa. Redcross 26 wamejipanga vibaya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Walahi kutachurura. Hawa redcross 26 wako mbele ya muda. Kutakuwa na delay kwa jeshi kudhibiti maandamano ili kuyapa nguvu. Kile kikosi cha watu 26 kinaingia mzigoni kesho kutwa tarehe 26. Kama hukununua chakula huu ni wakati wa kuweka ndani.

Kama unajua unaduka au ofisi katikati ya mji usifungue siku hiyo. Najuzwa hivyo. Kuna laini zimepishana. Na bado
 
Screenshot_20251022_215327.png
 
Mzee wa nyuzi nyingi zisizo na kueleweka. Na bado.
 
Walahi kutachurura. Hawa redcross 26 wako mbele ya muda. Kutakuwa na delay kwa jeshi kudhibiti maandamano ili kuyapa nguvu. Kile kikosi cha watu 26 kinaingia mzigoni kesho kutwa tarehe 26. Kama hukununua chakula huu ni wakati wa kuweka ndani.

Kama unajua unaduka au ofisi katikati ya mji usifungue siku hiyo. Najuzwa hivyo. Kuna laini zimepishana. Na bado
Kumbe Kesho kutwa ni tarehe 26,
Na bado
 
Walahi kutachurura. Hawa redcross 26 wako mbele ya muda. Kutakuwa na delay kwa jeshi kudhibiti maandamano ili kuyapa nguvu. Kile kikosi cha watu 26 kinaingia mzigoni kesho kutwa tarehe 26. Kama hukununua chakula huu ni wakati wa kuweka ndani.

Kama unajua unaduka au ofisi katikati ya mji usifungue siku hiyo. Najuzwa hivyo. Kuna laini zimepishana. Na bado
Akili yako haipo sawasawa wewe. Utakuwa umeathiriwa na Bange, au damu ya binaadam ulioshiriki kuimwaga.
Kama si hayo, basi unacho kilevi cha imani mbovu.
 
Zimamoto na uokoaji nao wamejipanga vya kutosha, wamepata ndiga mpya
 
Back
Top Bottom