October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
- Thread starter
- #41
Gwajima ====> Songea 26/10/2025
Nilikuwa nakupuuzia kumbe una taarifa za kweli wakati fulani.
Uliesema Red Cross 26 kuna kiongozi wa dini ataongea 26/10/2025.
Na bado!
Gwajima ====> Songea 26/10/2025
Nilikuwa nakupuuzia kumbe una taarifa za kweli wakati fulani.
Uliesema Red Cross 26 kuna kiongozi wa dini ataongea 26/10/2025.
Ukumbuke pia Alisema alishamdhibiti hataongea, kaongea.
Ila mtafungwa baadaye.Na bado!
Kwa hiyo mmezidiwa kete,Kiongozi msaidizi wa redcross amekataa kutoa code
Ila mtafungwa baadaye.
Polepole na Gwajima wamewapa onyo au angalizo.
Thubutu! Bado siku 2 itajulikana tuuKwa hiyo mmezidiwa kete,
Kivipi? Influencers wapi hao na media zipi tuvitembeleeVipi huko Danganyika mshampata Kiongozi wa Red cross? Maana Sasa vita imehamia kwa influencers wa Afrika na media za Dunia? Huu uchaguzi una balaa
Vipi huko Danganyika mshampata Kiongozi wa Red cross? Maana Sasa vita imehamia kwa influencers wa Afrika na media za Dunia? Huu uchaguzi una balaa
Huyu toka kifo cha Ndugai huyu humu anajua kabisa huyu ni kama nimejua kabisa toka kifo cha Ndugai niaelekea kutokea alisema huyu habari zake uhakika team mamaGwajima ====> Songea 26/10/2025
Nilikuwa nakupuuzia kumbe una taarifa za kweli wakati fulani.
Uliesema Red Cross 26 kuna kiongozi wa dini ataongea 26/10/2025.
huu Uzi ni kama unaishi
Huyu toka kifo cha Ndugai huyu humu anajua kabisa huyu ni kama nimejua kabisa toka kifo cha Ndugai niaelekea kutokea alisema huyu habari zake uhakika team mama
Na bado 😁duh tupe news redcross imekufa au bado inajipanga😲