Bado kitu gani wakati jahazi linazama. Bange zitakapopungua kichwani utajikuta huna popote pa kukimbilia.Na bado
Bado kitu gani wakati jahazi linazama. Bange zitakapopungua kichwani utajikuta huna popote pa kukimbilia.Na bado
Bado kitu gani wakati jahazi linazama. Bange zitakapopungua kichwani utajikuta huna popote pa kukimbilia.
Nchi yenye vijana wenye nguvu ila waoga wasioweza kupambania haki zao ,wanaoogopa kuwatetea wenzao wanaouwawa, wanaoogopa kuandamana kwa amani ilihali ni haki yao
Nchi ambayo vijana wake wananunuliwa kwa chini ya dola 100 ili kucoment ujinga na kuwachoma wenzao wenye nia njema,
Tutaficha wapi sura zetu kwa majirani kama tukishindwa kujitetea kwa mambo yote tuliofanyiwa
Tukakosa kuungana kuupinga huu utawala wa kidhalimu
Vijana tukawa waoga kwenye jambo la msingi je tutaweza kuwa majasiri endapo nchi itaitaji vijana wa ziada kuitetea nchi yao inapovamiwa na adui?
Mkishindwa kutoka ktk maandamano je mtaweza kujitoa kwenda mstari wa mbele kumfukuza adui pale jeshi linapozidiwa?
Vijana hii ni test muhimu sana kwetu majirani wanatutizama, maadui zetu wanatutizama ,dunia inatutizama , Mungu anatutizama
Tukishindwa sijui tutaweka wapi sura zetu kwa majirani ,tutawapa sababu gani watuelewe kwamba sisi sio waoga,
Kuandamana kwa amani ni haki ya kila mtu haijalishi saa wala siku , ni kipimo cha ujasiri na muunganiko wa wananchi
Tutoke tupaze sauti zetu tuanze kujenge nchi yetu upya.
Mimi naandamana sasa na si wakati wowote tena zaid ya sasa. Please do it once in your life time
Ungeanza kesho uwe role model.Au kelele tu za keyboard?Nchi yenye vijana wenye nguvu ila waoga wasioweza kupambania haki zao ,wanaoogopa kuwatetea wenzao wanaouwawa, wanaoogopa kuandamana kwa amani ilihali ni haki yao
Nchi ambayo vijana wake wananunuliwa kwa chini ya dola 100 ili kucoment ujinga na kuwachoma wenzao wenye nia njema,
Tutaficha wapi sura zetu kwa majirani kama tukishindwa kujitetea kwa mambo yote tuliofanyiwa
Tukakosa kuungana kuupinga huu utawala wa kidhalimu
Vijana tukawa waoga kwenye jambo la msingi je tutaweza kuwa majasiri endapo nchi itaitaji vijana wa ziada kuitetea nchi yao inapovamiwa na adui?
Mkishindwa kutoka ktk maandamano je mtaweza kujitoa kwenda mstari wa mbele kumfukuza adui pale jeshi linapozidiwa?
Vijana hii ni test muhimu sana kwetu majirani wanatutizama, maadui zetu wanatutizama ,dunia inatutizama , Mungu anatutizama
Tukishindwa sijui tutaweka wapi sura zetu kwa majirani ,tutawapa sababu gani watuelewe kwamba sisi sio waoga,
Kuandamana kwa amani ni haki ya kila mtu haijalishi saa wala siku , ni kipimo cha ujasiri na muunganiko wa wananchi
Tutoke tupaze sauti zetu tuanze kujenge nchi yetu upya.
Mimi naandamana sasa na si wakati wowote tena zaid ya sasa. Please do it once in your life time
Unaniuliza mimi wakati nimeshasema ninatoka kuungana na wenzangu kupaza sautiWewe ulifanya nini kupigania hizo haki?
Hakuna kitu , hiyo siku tutarudi hapaUnaniuliza mimi wakati nimeshasema ninatoka kuungana na wenzangu kupaza sauti
Kesho ndo nini lengo mahsusi ni tar 29 kesho ndo niniUngeanza kesho uwe role model.Au kelele tu za keyboard?
Nimejitahidi sana kujizuia ,lengo lilikuwa kujutukania sehemu za siri za mzazi wako wa kike kuwa zimetumika vibaya kuleta takataka ya aina yako kwenye ardhi yetu tukufu .Ungeanza kesho uwe role model.Au kelele tu za keyboard?
Huna loloteTangu 20th Oct Vile natimba kokote pale napoitwa Iwe na polisi au kwenye vikao vya maendeleoView attachment 3492630
Moto utawaka tu.
Ukumbuke pia Alisema alishamdhibiti hataongea, kaongea.Gwajima ====> Songea 26/10/2025
Nilikuwa nakupuuzia kumbe una taarifa za kweli wakati fulani.
Uliesema Red Cross 26 kuna kiongozi wa dini ataongea 26/10/2025.
Kuna sehemu alidokeza kiongozi wa redcross 26 amehama safe house.Ukumbuke pia Alisema alishamdhibiti hataongea, kaongea.