Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BAVICHA wamezitafuna sana hizo tangu jana 🐒
Pole!Huenda Freeman Aikaeli Mbowe akatangazwa mshindi wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa kwa kujizolea kura zaidi ya 700 za wajumbe halali waliothibitishwa kua wapiga kura na kamati kuu.
Ni wazi na ukweli usiofichika kwamba kanda zenye wajumbe wengi zaidi wa mkutano mkuu wa CHADEMA Taifa ni ngome imara za Freeman Aikaeli Mbowe, na kwahivyo anakwenda kushinda uchaguzi huo wa CHADEMA Taifa kwa kishindo kikuu.
Vyote itakavyokua, numbers zina mfavor Freeman Aikaeli Mbowe kwa namna zote.
Anakwenda kushinda uenyekiti kwa kupata kura kutoka katika kila kanda ya kiutawala ya CHADEMA, ukilinganisha na wagombea uongozi wengine ambao wana ushawishi na umaarufu mkubwa mitandoni na nje ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA Taifa.
Wagombea uongozi wengine katika uchaguzi huu wa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, hakuna atakapata kura zaidi ya mia2 hata wakiungana 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Hongera mtabiri 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Huenda Freeman Aikaeli Mbowe akatangazwa mshindi wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa kwa kujizolea kura zaidi ya 700 za wajumbe halali waliothibitishwa kua wapiga kura na kamati kuu.
Ni wazi na ukweli usiofichika kwamba kanda zenye wajumbe wengi zaidi wa mkutano mkuu wa CHADEMA Taifa ni ngome imara za Freeman Aikaeli Mbowe, na kwahivyo anakwenda kushinda uchaguzi huo wa CHADEMA Taifa kwa kishindo kikuu.
Vyote itakavyokua, numbers zina mfavor Freeman Aikaeli Mbowe kwa namna zote.
Anakwenda kushinda uenyekiti kwa kupata kura kutoka katika kila kanda ya kiutawala ya CHADEMA, ukilinganisha na wagombea uongozi wengine ambao wana ushawishi na umaarufu mkubwa mitandoni na nje ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA Taifa.
Wagombea uongozi wengine katika uchaguzi huu wa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, hakuna atakapata kura zaidi ya mia2 hata wakiungana 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Umechambua takataka.Gentleman,
mimi sio mtabiri ni mtafiti na mchambuzi mbobevu katika masuala ya siasa, sawa ee? waambie na wazazi juu ya hilo kuepusha uoptoshaji 🐒
Pole wewe bwana.Pole sana my lady 🐒
Aibu yako.kura za wajumbe zimethibitishwa tayar gentleman,
niambie kanda 4 tu ambazo Lisu anaweza kumshinda mbowe
kati ya zilivyoorodheshwa ?[emoji205]
huko online mlikua wajumbe wangapi kwa mfano gentleman kwa faida ya waDau ?
AibuMbowe 531
Lissu 465
Haya ndo mambo ya Calculatorkwa mfano kanda ya kaskazini kati ya wajumbe 118, ni wazi 100 watampigia mbowe zilizobaki watagawana wengine,
kwenye kanda zenye wajumbe chini ya mia, ni wazi mbowe hawezi kukosa kura chini ya 65, huku zile zenye wajumbe chini ya 80, mbowe anaweza kupata kura zaidi ya 60 zilizobaki watagawana wengine.
Ku na kanda mbowe anauwezekano akakomba kura zote wengine wakagawana sifuri gentleman [emoji205]