Uchaguzi 2020 Hapatoshi Singida Kaskazini, Nyalandu vs Ramadhani Ighondu

Mpaka sasa majimbo matatu ya mkoa wa Singida ni hakika 100% mikononi mwa CHADEMA. Singida Kaskazini na lililokuwa la Tundu Lissu Singida Mashariki ama Ikungi + Singida Mjini.
 
Hili ni moja ya jimbo gumu sana upande wa CCM baada ya kinachosemekana kua ni makosa ya kamati kuu ya CCM kuwawekea mtu ambaye hafahamiki kabisa kushindanisha na Lazaro Nyalandu ambaye amekua kipenzi cha jamii ya watu wa eneo hilo.

Wenyeji wa ukanda huo wanasema Lazaro hatapata tu kura za Wanachadema pekee, bali ni hata WanaCCM ambao wanajua miaka yote kua yeye ndiye mbunge wao.

Huyu bwana Ramadhani Ighondo ambaye anatajwa kua ni mtumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu siyo mtu wa maneno sana ispokua ni mtu wa mikakati sana kiasi kwamba kumuelewa kwa kumtazama tu siyo rahisi.

Wanasingida Kaskazini twasubiri kipenga tuone mtanange huu. kikubwa refa awe fair na hata asipokuwa fair atashindwa kubeba mtu maana mbunge anajulikana mpaka sasa.

NyArandu mapema tu anashinda
 
Sura za kiuaji hazijifichi kabisa
 
Hiyo ni sura tuu ya ushamba mkuu, lakini roho iliyomo humo sii mchezo.

Kumng'oa kucha binadamu bila ganzi kwake sio hoja na hahitaji kunywa KVant kupotezea hisia
Mama yangueeee! Mungu twakuomba utunususuru na roho za kichawi kama hizi.Kinyama kikiotea tu kwenye kucha kinauma,sembuse kungolewa kucha bila ganzi? Dr Ulimboka popote ulipo pole sana, ila amini kuwa Mungu hanaga usingizi.
 
Back
Top Bottom