Hapiness Magese avishwa pete ya $76,000

hahaha shem unajua nini eeh! yaani hapa najaribu kuangalia hiyo avatar yako huku nakupiga picha unakura ugali kwa picha ya samaki hahahahahah!...duuh viazi na maziwa na mgando?.....lazima uharibu hali ya hewa hahahahah!

Heheeeeeeee...Huyo jamaa hajakufikisha Sukuma land nini...Kule breakfast ni viazi(manumbu) au sometimes matobholwa na maziwa ya mgando(wengine huyanywa yakiwa yamechujwa baada ya kuondolewa samli)...Tunakula hivyo na wala hatuchafui hewa wala nini,ni mazoea tu
 
Manumbu ndio yenyewe....ukipiga na chai ya maziwa inakuwa imetoka mpaka limi lya mhindi....
 
Balantanda na OPP!...Duh hiyo ndiyo breakfast yenu huko sukumani?basi msukuma wangu kanificha maana anajua miye sili starch.....i am more into veggie hahahahah!....hivyo viazi lazima ukose choo for takriban one week....
 
Mlenda unakula?
 
utanikondesha mwenzio kupika milo heavy from one meal to the next??? lakini ndo mapenzi sina ujanja!!!

hahaha shem unajua nini eeh! yaani hapa najaribu kuangalia hiyo avatar yako huku nakupiga picha unakura ugali kwa picha ya samaki hahahahahah!...duuh viazi na maziwa na mgando?.....lazima uharibu hali ya hewa hahahahah!

jamani hiyo avatar ya mpendwa wangu imekaa ki-mwanakondoo (mpole)!!!! mlaini!!!! mayai mayai!!!! sas linapokuja suala la dona na mlenda duh!!!!
 
jamani hiyo avatar ya mpendwa wangu imekaa ki-mwanakondoo (mpole)!!!! mlaini!!!! mayai mayai!!!! sas linapokuja suala la dona na mlenda duh!!!!

Ni kwel hiyo Avatar yake na mambo yake vina utata kabisa....huwa naiangalia sana hiyo avatar ya shem wangu alafu nasema mmh "Simba mwenda pole"....
ila kiulwei kweli...shem wangu kaenda shule (meaning ametuliya)....
 
hapo kwenye red umekamilisha siku yangu vizuri wacha nikalale kwa amani!!! shosti ngoja nikajaribu kudigest ya mpendwa wangu na ya Jery Muro na KOva afu nione kesho naanzaje siku.

You stay blessed gurlie!!!

And you mzee wa madialect....OPP sijui nikuagake ile creole ya Haiti ya kwaheri sijainyaka bado!!!
 
Mchana, jioni, usiku mwema.....
 
Haya siku njema shosti tutachekiana kesho basi!....i am glad i finally made your day today!...huyo jerry ndiyo nani lakini maana nimejaribu kumsoma lakini sijui ana wadhifa gani hapo bongo...kesho utaniambia basi!>...haya wahi kumpigia dona Bala...
 
Heheeeeeeeeeee...aaaaah..Mi mgumu bana,sio mayai wala nini
 
jamani hizi habari zingine hapa Bongo zitahatarisha maisha ya watu.Huo mlonjo aaah sorry mkono wataondoka nao wajanja
 
Na nyie mna uhakika gani that ring worth that amount of money? watu wengine kuji show up tu waonekane wanazo!! Mbeba mabox ku raise hela kama hiyo is no joke jamani!!!
 
Rumour has it kuwa aliyevishwa pete wala siyo Happyness aka Millen Magese...Ni John Mashaka kamvalisha mwanamke pete huko TZ....Na hiyo pete ilikuwa ya thamani hiyo ila John kaipata kwenye deal na analipia monthly!......
 
tanzania bana so funny.......
fake people every where.......
 
Rumour has it kuwa aliyevishwa pete wala siyo Happyness aka Millen Magese...Ni John Mashaka kamvalisha mwanamke pete huko TZ....Na hiyo pete ilikuwa ya thamani hiyo ila John kaipata kwenye deal na analipia monthly!......

kheeeeeeeeeeee tena????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
yeah shostito..habari ndiyo hiyo nashangaa jina la mdada wa watu limetokea wapi!.....

shostito hii kali..........huyu alotuletea huu uvumi hapa naye khaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…