Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
hahaha shem unajua nini eeh! yaani hapa najaribu kuangalia hiyo avatar yako huku nakupiga picha unakura ugali kwa picha ya samaki hahahahahah!...duuh viazi na maziwa na mgando?.....lazima uharibu hali ya hewa hahahahah!
Heheeeeeeee...Huyo jamaa hajakufikisha Sukuma land nini...Kule breakfast ni viazi(manumbu) au sometimes matobholwa na maziwa ya mgando(wengine huyanywa yakiwa yamechujwa baada ya kuondolewa samli)...Tunakula hivyo na wala hatuchafui hewa wala nini,ni mazoea tu