Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Nasikitika hamjanielewa!
Sijasema matumizi ya mlango wa KIA, bali unaingilia nyuma kwenda ile sehemu mahususi, hope this is clear no doubt sasa sawa shem?
Ooh ok shem nao nimekuelewa kabisa...shem wangu usiwe na shaka kwa hilo maaana i was about to pray for you....... you shem!
Unaruhusiwa kuniombea maana naona shetani ananinyatia kwa kasi ya ajabu! na Israel hayuko mabali nami........LOL
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
Kuna watoto wengi pale hospitali ya kansa ya Ocean Road ambapo wanalala watano-watano ktk kitanda kimoja pamoja na wazazi/walezi wao wakisubiri TIBA.Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
Masa alinitisha nikahisi na Balatanda ndo wale wale nikaona nisepe kimya kimya!!!
wasukuma w asiku hizi wamejifunza ukurya naskia???? nawaogopa mie
Kuna watoto wengi pale hospitali ya kansa ya Ocean Road ambapo wanalala watano-watano ktk kitanda kimoja pamoja na wazazi/walezi wao wakisubiri TIBA.
Nadhani dada yangu MAGESE ambaye ni mhudumu wa jamii kupitia taasisi mbali mbali angemshauri jamaa yake kwamba ingenunuliwa pete nzuri ya gharama nafuu ili wasave some funds kuwasaidia baadhi ya watoto walio ktk mazingira hatarishi ambao wazazi wao ni fukara.......
I am trying to think out of the BOX
Hivi huyu jamaa aliwaletea na receipt ya hiyo pete au ndio hili mradi tu? embu tulete picha ya hiyo pete, make (au duka gani), tu-google hapa kwenye catalogue zao. Kama unajua bei ya pete hayo tuliombea utuwekee hayata kua magumu kuyajua. Wapembe nuksi tupu.Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
Hapana jamani,mimi sina hiyo tabia...TiGo ni kharamu kwetu wasukuma...Sisi ni Zantel tu ndo twaitumia
Nasikitika hamjanielewa!
Sijasema matumizi ya mlango wa KIA, bali unaingilia nyuma kwenda ile sehemu mahususi, hope this is clear no doubt sasa sawa shem?
Msanii hapo unakosea kumlaumu Magese yeye hiy engagement rign ameshtukizwa atamwambiaje jamaa wa-save funds kusaidia watoto?...besides you never know labda wanasaidia watoto walio na matatizo....Mimi binafsi i think hiyo ni hela yao na wana haki ya kufanya kile wanachotaka na hatuwezi kuwapangiliya......
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
na nyie mlitaka abebe wake zenu
kama ni hivyo mpendwa sawa, maana niliona masa kama anakushawishi ili upotoke!!!
Habari ya Leo shostito!.....Umeamkaje?...Miye nimeamka salama ila ubavu wa kushoto unauma...!
Najua saizi ndo kumekucha sisi huku vumbini ndo twaenda kujilaza kwenye mbavu za umbwa.
Ndauli bella!!
Habari ya Leo shostito!.....Umeamkaje?...Miye nimeamka salama ila ubavu wa kushoto unauma....
shosti ukumbuke basi na wewe siku masanilo anakuvisha pete uje utupe na thamani yake hahahaha-haha! Hallo!