Umasikini wenu ndio una wasumbua pamoja na uandishi, hapao haieleweki mbeba box as mbeba box wa uspermarket au Mbeba box as somebody ana fanya kazi Canada.
Happiness ni celebrity wa TZ so kuelezewa kuhsu pete yake ni sawa kwani kuna wasichana wengi wana m idolize mrembo huyu na kutaka wawe kama yeye.
Naona mnazungumzia madawa vijijini ,ada na umasikini mwingine, tatizo nyie ni masikini, mna roho ya kimasikini ,kutwa kulalamika. Wewe hapo ulipo ina wezekana umenunua LCD TV screen ya inchi kubwa uliyo kua una i dream siku zote, , kwa uwezo wako hiyo nikama zawadi ya dola milliona moja kwako, sasa kwanini ununue hiyo wakti kuna ndugu zako huko kwenu LUKU inawashinda kulipa? basi tusinge fanya mambo kama kila mtu angefikiria hivyo.
Mtajuaje kama huyu Bwan harusi mtarajiwa ana kazi nzuri ambayo inamwezesha kupata mkopo ana akanunua hiyo Pete? na toka lini Nchi kama canada mtu akanunua pete hiyo kwa cash? mwache jama ampende mchuma wake kwaku engage kwa stoone la ukweli , ...wenye wivu saga chupa kunywa!