Hapiness Magese avishwa pete ya $76,000

Hapiness Magese avishwa pete ya $76,000

kapete???? why????

Hiyo ilikuwa with sukuma accent...Unajua sisi wasukuma tena matumizi ya ka na ma tushayazoea...mabugando,kagari,kanyumba............Ninamaanisha pete ya nguvu mpendwa
 
Suleiman, alioa zaidi ya wake 1000 akawa na utajiri mwingi kiasi kwamba iliweza kuchinja ng'ombe 300 kwa siku kama kitoweo cha familia yake kwa siku, lakini akagundua kuwa amepungukiwa na kitu kimoja, nacho ni furaha ya kumcha Mola wake....kisha akayahesabu yote kuwa ni ubatili mtupu na kuamua kumgeukia Mngu wake Yote yanapita tu, Angemwambi huyo mpenzi wake kuwa anajua ana uwezo wa aina hiyo lakini awe fare tu
 
nothing wrong with it... i mean lets be honest...ukipata one billion and decides to build your house your way..manjonjo mengi coz hela unayo and someone accuses you that the person next door is starving is this really your problem? wangapi wanapita wamefunga vioo hawatoi msaada kwa ombaomba hapo mtaani, why should it start with Ms Magesse? charity begins at home, maneno yetu yajengeke hata huku chini kwa uwezo wetu, kuna mengi sana tunaweza kuyafanya bila kutoboka mifuko na hatufanyi...nafahamu tuna matatizo mengi sana, but her beu decided to give her that ring, wht is our problem? our problem is the neglect tht is happening to society then lets discuss it and not worthness of someone's ring on a finger !
food for thought
 
Hiyo ilikuwa with sukuma accent...Unajua sisi wasukuma tena matumizi ya ka na ma tushayazoea...mabugando,kagari,kanyumba............Ninamaanisha pete ya nguvu mpendwa

i though the same mpendwa nilikutega tu nisikie toka mdomoni mwako!!!! chonde isiwe kama ya binti Magessa!!!
 
i though the same mpendwa nilikutega tu nisikie toka mdomoni mwako!!!! chonde isiwe kama ya binti Magessa!!!
Bado yako bht,sijui itakuwa dola 100,000.uvunje rekodi kabisa selebriti wetu wa jeiefu.
 
Hela ya kubeba box huwezi ukatoa $76,000 kununua pete; labda hela za kifisadi ndo unaweza kuchezea kiasi hicho.
By the way, ni nani barabarani atajua kuwa hiyo pete ni ya $76,000? labda mpaka uambiwe.
Kila la heri dadaa
 
Bado yako bht,sijui itakuwa dola 100,000.uvunje rekodi kabisa selebriti wetu wa jeiefu.

Balantanda ataweza kwelii Charity???!!! usije ukamsababisha asepe kimya kimya maana leo simuoni kwenye suala zima la pete ............
 
Balantanda ataweza kwelii Charity???!!! usije ukamsababisha asepe kimya kimya maana leo simuoni kwenye suala zima la pete ............

Tutashindwa hata kuyaanza hayo maisha mpendwa ila ng'gombe ndo zitatolewa nyingi tu...hata hivyo tayari umenipa angalizo kwamba hutaki pete iwe ya gharama kama ya Happy Magesse,safi sana
 
Tutashindwa hata kuyaanza hayo maisha mpendwa ila ng'gombe ndo zitatolewa nyingi tu...hata hivyo tayari umenipa angalizo kwamba hutaki pete iwe ya gharama kama ya Happy Magesse,safi sana

for that i can assure you my dear!!! cha muhimu ni upendo wa dhati. I dont care pete itagharimu kiasi gani!!!!! iwe ya fedha ama lulu kwangu mimi si muhimu sana!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hii ni nchi ya kibepari kwaiyo kila mtu ana uhuru wa kutumia fedha yake binafsi kwa masuala yake binafsi mradi asivunje sheria.
 
Back
Top Bottom