Hapo ofisini kwenu ukiwa umefulia ukifika muda wa lunch huwa unatumia mbinu gani kuzuga ili watu wasikushtukie kuwa umefulia?

Hapo ofisini kwenu ukiwa umefulia ukifika muda wa lunch huwa unatumia mbinu gani kuzuga ili watu wasikushtukie kuwa umefulia?

Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.
Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
Sisi mwenye nacho huwanunulia wenzake na siku ikapita; hakuna kuzuga; kama huna unasema.
Tunatumia muda mwingi kazini kuliko nyumbani hivyo tengeneza upendo; umoja; ushirikiano; Amani na ushirikiano ili kazini Pawe pakuvutia
 
Kipindi hiko nilikuwa nakula asubuhii chapati tatu na chai mpaka jioni.....

Maake sikuwa na kitu, afu pia nikila hivyo nisipofanya kazi ngumu kula Tena inanipa taabu kidogo...

Jamaa mmja akaniuliza sijawahi kukuona lunch time

Mimi sasa asubuhii nakula nashiba ko saa hz sili Tena....

Akashangaa Mimi nikamwambia ndo hivyo!
Blood Ibn Unuq
 
wengi tunajienjoy kwa kupiga fegi freshii tu mda huoo
FB_IMG_1735061940307.jpg
 
Back
Top Bottom