covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Kazi gani hizo mnafanya hata lunch ofisi haiwahudumii..Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.
Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
Basi waambie upo kwenye maombi umefunga.