Hapo ofisini kwenu ukiwa umefulia ukifika muda wa lunch huwa unatumia mbinu gani kuzuga ili watu wasikushtukie kuwa umefulia?

Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.
Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
Kazi gani hizo mnafanya hata lunch ofisi haiwahudumii..
Basi waambie upo kwenye maombi umefunga.
 
Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.
Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
Tanzania na watanzania ni maajabu. Majuu wafanyakzi wengi tu hata wenye vyeo vikubwa kama wakurugenzi hubeba lunch box waendapo kazini. Ofisi nyingi unakuta zina microwave oven za kupasha moto, friji na sehemu ya kulia na hata dish washing machine. Sisi tunajifanya tuko matawi ya juu na tunakwenda nje kununua vyakula. Kwa nini msibebe vyakula na mkala hotelini siku moja moja? Mke wako akipika chakula cha jioni anakuwekea unaondoka nacho asubuhi.
 
Kipindi hiko nilikuwa nakula asubuhii chapati tatu na chai mpaka jioni.....

Maake sikuwa na kitu, afu pia nikila hivyo nisipofanya kazi ngumu kula Tena inanipa taabu kidogo...

Jamaa mmja akaniuliza sijawahi kukuona lunch time

Mimi sasa asubuhii nakula nashiba ko saa hz sili Tena....

Akashangaa Mimi nikamwambia ndo hivyo!
Blood Ibn Unuq
Noma sana mkuu, mimi sina Experience kwahilo sababu sijawahi ajiriwa mkuu 🙌
 
Tanzania na watanzania ni maajabu. Majuu wafanyakzi wengi tu hata wenye vyeo vikubwa kama wakurugenzi hubeba lunch box waendapo kazini. Ofisi nyingi unakuta zina microwave oven za kupasha moto, friji na sehemu ya kulia na hata dish washing machine. Sisi tunajifanya tuko matawi ya juu na tunakwenda nje kununua vyakula. Kwa nini msibebe vyakula na mkala hotelini siku moja moja? Mke wako akipika chakula cha jioni anakuwekea unaondoka nacho asubuhi.
Sio majuu mkuu, niliwahi kufanya kazi na mu australia mmoja alikua ventilation engineer mahali fulani asee asubuhi akinywa chai basi hubeba lunchbox yake nilikua namshangaa sana ila nilijifunza kitu
 
Wazamin hawakosekn labda kam nmeamua tuu kushnd njaa, uzur mara nying kila mmoja huend kwa muda anahis njaa , hamna kufatana
 
Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.

Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
Si unampiga sound tu ma ntilie ule hata ukoko maarage. na badae unamlipa kwake huko
Utaletewa Nyama mpunga wa kutosha na akioga unakula mzigo kwa kususiwa.
Nyie vijana wa 2000 hamna mbinu.
Enzi zetu sidhani km niliwai kulipia lunch.
 
Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.

Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
Hua najifanya bado kidoogo, namalizia game la nyoka au la vyura
 
Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.
Nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu siku moja uajiriwe kwenye taasisi inatoa chakula mchana au siku nzima.
 
Back
Top Bottom