Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Objective football

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2023
Posts
1,195
Reaction score
2,771
Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.

Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.

Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.

Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
 
Sitaki kutoa conclusion ila inawezekana unachapiwa mkuu ila kuwa na uvumilivu kwasababu haujapata ushahidi wa kutosha. Mtegemee Mungu atakusaidia.
 
Sitaki kutoa conclusion ila inawezekana unachapiwa mkuu ila kuwa na uvumilivu kwasababu haujapata ushahidi wa kutosha. Mtegemee Mungu atakusaidia.
Anatombwa moja kwa moja hakuna kumungunya maneno, hakuna sehemu wake za watu wanaliwa kama dodoma hasa kipind hich makao makuu yamehamia huko, namshauri bwana robertinho arud kwao atakufa kwa pressure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…