Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Mpe Talaka huyo Mwanamke.

Ukiona amefikia hatua ya Kukuambia Una mapenzi ya zaman...

Pia hakuheshim, anakudharau na anakuona wewe kama Mjinga

Mwanaume ukishapoteza Heshima yako basi hufai Tena kua Mume wa mwanamke Mpumbavu

HIVO MPE TALAKA MARA MOJA
Noted champ, japo nisha mzoea dah
 
Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa anasafari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.

Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.

Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.

Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
Dawa mtafutie mwenzake. Usihangaike na mwanamke muache yy ndio ahangaike na ww
 
Baba hmn rangi tutaacha ona mzee mimi wangu nishazoeaa saiv mida ya usiku na asubuhii nikipiga simu nayoyahisi ni mulemule kuna namna napigwa tukio ila namvutia tu kasi naenda kuwa huru sasa baada ya utumwa wa muda mrefu ila ase tukatae ndoa wallah
 
Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.

Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.

Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.

Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
Hivi siku ukifa utakuwa unamlinda hivyo hivyo? Kumbuka hata mbinguni hakuna kujuana iwe mke au mume. Muache mwenzako apumue
 
bambalaga ipo maeneo gani mkuu?
nata niingie domu now
Hakuna mtu hajui bambalaga masta ipo mjini, kuna viwanja kama vitatu vinne nna uhakika ukizunguka hutamkosa kama unajua anapenda kwenda viwanjani na kama umejua kazi aloendea, dodoma wanaliwa watumish masta daah malodge daily yamejaaa, nikiwa naenda napigaga simu niwekewe room kabisa sababu huwa kuna uwezekano wa kukosaaa
 
C
Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.

Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.

Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.

Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
hukua neno (mapenzi ya kizamani) this means ulishatemwa zamani na sasa ana chombo kipya.

Kama unabisha nipe kazi ya ikachero nikujulishe wapi aliko ma yuko na nani😂
 
Back
Top Bottom