Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.

Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.

Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.

Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
Daah broo pole ! Yaan wanawake bana wahenzi sana mtu akimuwini kidogoo tuu ana sahau mtu wake maana kabisa ,!! Usahaur akirudi mpokee, kwa afya yako mpime magonjwa ya zinaa na vvu , kwa kulinda familia yenu
 
sawabhana, mwambie homu watoto wana mlilia
Haina noma ntamwachia, sema akirudi home mwambie aboreshe usafi wake binafsi bn unaishije na mke vuzi Amazon 🤔kwapa njano, kanambia ww unakaa tu home una gubu kinoma skia usiwe unakaa sebuleni mda wote kasake chochote sio kila siku yy ndo breadwinner
 
life is full of uncertainities chief
 
Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.

Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.

Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.

Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
We zombiii haujui simba la masimbaaa dangote..........
Shituka mkuu unakaribia kutekwa.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom