Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Kulikuwa na haja gani ya kuweka kipande cha wimbo uliousikia wakati unapiga simu Mkuu? Lols

Lakini wala sikucheki, mi pia niko hivyo asipopatikana hapakaliki.
Huna kosa, uko sahihi na mwenzio kwakuwa ameshakujua anapaswa kujiweka ktk mazingira ya kukupa amani.
Nikimaanisha mawasiliano imara, kila wakati.
 
Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.

Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.

Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.

Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!


Wewe ndo mwanaume U wewe ndo mke? Maana sioni kama kuna mwanamme angeweza mthubutu mtu kama mimi halafu nije lia huku.
 
Wale waliokuwa “bado hawajaoa wanazidi kujifunza”

Msome kuelewa ili mjue mnajifunza nini kutokana na scenario wanazokutana nazo kaka zenu waliooa wafanyakazi wakiamini watasaidiana maisha.
Hawa watu ni shida kama hujaoa kwa kweli jiulize sana mana mkeo ni mke wetu pia...aweza kuwa ana utii na heshima kwa hawara kuliko wewe mume...Mke wako anakua na mume wa kazini na inajulikana kabisa wafanyakazi wote wanajua yaani Ndoa ni Janga kubwa sana....Tena unakuta marafiki za mkeo wanajua na mpaka wana comtact za michepuko ya mkeo na wanakuchora tu..Dawa ni unyama marafiki wa mkeo wapelekee moto ili wakusaidie kukuambia habari zake la sivyo .Usioe mana wanawake unapata hao hao wake za watu na mpaka anakuzalia sasa shida nini??
 
Back
Top Bottom