Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Nifah kumbe mambo ndo moto [emoji91][emoji91][emoji91] hivyo acha nimsubiri Hawa wangu amaliziwe kuumbwa.Kulikuwa na haja gani ya kuweka kipande cha wimbo uliousikia wakati unapiga simu Mkuu? Lols
Lakini wala sikucheki, mi pia niko hivyo asipopatikana hapakaliki.
Huna kosa, uko sahihi na mwenzio kwakuwa ameshakujua anapaswa kujiweka ktk mazingira ya kukupa amani.
Nikimaanisha mawasiliano imara, kila wakati.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app