Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Il
Aisee ..kama hii story yako ina ukweli basi hapa hadi sasa hamna ndoa kati yenu ni mnalea watoto tuuu!

Kama umempata muulize maswali kwanini hapatikani asipokupa majibu ya kuridhisha hakikisha umemchapa makofi hadharani yani uhakikishe umemchapa makofi hadharani….

Mwanamke kama huyu lazima akuue kwa presha au ukimwi …kwanza ni aibu kwako maana hata jambo hili hukupaswa kumshirikisha mtu yeyote ungelifanya kimya ona sasa hadi nduguzo wamejua mke wako ni malaya hadi anafikia kukuzimia simu…

Hii aibu sijui utaifuta vipi lakini kwanza hakikisha umemchapa makofi mbele hata za nduguzo halafu mwambie pale pale kuwa ndoa yenu imeishia hapo..kinyume na hapo aje na maelezo ya kuaminika au yanayo eleweka halafu ondoka kabisa urudi nyumbani…

Mwanamke msaliti hatakiwi kusamehewa kamwe kamwe….bado nasisitiza kama hii story ni kweli huyu mkeo unapaswa kumfunza adabu kabisa!
Ukweli ni kwamba hii habari inatia hasira sana…
Ila apate ushahidi kwanza
 
sahihi chief
 
3:Simulizi sehemu ya tatu ya mgogoro wa ndoa yangu.

Basi baada ya kupokea simu ngeni yenye maelekezo alipo mkewangu, nikawatarifu wadogo zangu pamoja na yule mshikaji uelekeo wetu ukawa ni maeneo ya makole (near pssf tower) pale pale dodoma

Kitu ambacho sikutaka kitokee ni aibu mbele ya hawa wadogo zangu , nikajaribu kupiga namba ya wife mybe nimpate hewani ,bahati nzuri simu ikawa inaita baada ya muda akapokea .

Mkewangu akawa anazungumza kama katoka usingizini,tena usingizi mzito huku akidai kazi zime mchosha. Basi nikamuuliza ukowapi mda huu!?

Akanijibu nipo sehemu × , nimaarufu sana kwa mitaa ile, nikamjibu kuwa hata mimi niko mitaa hihii nimekufata wewe mkewangu watoto wanakuhitaji nyumbani!

Akadai mbona imekua ghafla, nikajibu imenibidi iwe hivoo sababu ukimya wako ulinifanya nihisi vibaya. basi wife akadai muda umeenda sana kwanini tusionane kesho asubuhi!

palepale mdogo wangu huyu ambae ni askari alinipokonya simu, nakuanza kulushiana maneno na mkewangu akitaka aseme yuko wapi muda ule tumfuate alipo. mkewangu akaishia kukata simu, na akawa hapatikani hewani

dah! mapenzi kitu kingine, why luv turn into venom! nitaimalizia nipo
The waves natoa stress🙁
 
Back
Top Bottom