Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
- Thread starter
- #381
sitaki kuaminiKaliwa kabisa chezea mkia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sitaki kuaminiKaliwa kabisa chezea mkia
Hapo majibu yapo wazi kabisa kazi ipo kwako tu kufanya maamuzi3:Simulizi sehemu ya tatu ya mgogoro wa ndoa yangu.
Basi baada ya kupokea simu ngeni yenye maelekezo alipo mkewangu, nikawatarifu wadogo zangu pamoja na yule mshikaji uelekeo wetu ukawa ni maeneo ya makole (near pssf tower) pale pale dodoma
Kitu ambacho sikutaka kitokee ni aibu mbele ya hawa wadogo zangu , nikajaribu kupiga namba ya wife mybe nimpate hewani ,bahati nzuri simu ikawa inaita baada ya muda akapokea .
Mkewangu akawa anazungumza kama katoka usingizini,tena usingizi mzito huku akidai kazi zime mchosha. Basi nikamuuliza ukowapi mda huu!?
Akanijibu nipo sehemu × , nimaarufu sana kwa mitaa ile, nikamjibu kuwa hata mimi niko mitaa hihii nimekufata wewe mkewangu watoto wanakuhitaji nyumbani!
Akadai mbona imekua ghafla, nikajibu imenibidi iwe hivoo sababu ukimya wako ulinifanya nihisi vibaya. basi wife akadai muda umeenda sana kwanini tusionane kesho asubuhi!
palepale mdogo wangu huyu ambae ni askari alinipokonya simu, nakuanza kulushiana maneno na mkewangu akitaka aseme yuko wapi muda ule tumfuate alipo. mkewangu akaishia kukata simu, na akawa hapatikani hewani
dah! mapenzi kitu kingine, why luv turn into venom! nitaimalizia nipo
The waves natoa stress🙁
nakusudia kufanya press kuhusu hiloHapo majibu yapo wazi kabisa kazi ipo kwako tu kufanya maamuzi
mkuu niko stressed sanaMalizia maelezo tukupe msaada wa mawazo acha kutufanya tukeshe kusubiria
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Njooo umalizie story mkuu.mkuu niko stressed sana
nitaimalizia chiefNjooo umalizie story mkuu.
Stress zinatoka ukitoa ya Rohoni
Daah alikuwa kwa kidume anazagamuliwa alooh ulikosea kutrap3:Simulizi sehemu ya tatu ya mgogoro wa ndoa yangu.
Basi baada ya kupokea simu ngeni yenye maelekezo alipo mkewangu, nikawatarifu wadogo zangu pamoja na yule mshikaji uelekeo wetu ukawa ni maeneo ya makole (near pssf tower) pale pale dodoma
Kitu ambacho sikutaka kitokee ni aibu mbele ya hawa wadogo zangu , nikajaribu kupiga namba ya wife mybe nimpate hewani ,bahati nzuri simu ikawa inaita baada ya muda akapokea .
Mkewangu akawa anazungumza kama katoka usingizini,tena usingizi mzito huku akidai kazi zime mchosha. Basi nikamuuliza ukowapi mda huu!?
Akanijibu nipo sehemu × , nimaarufu sana kwa mitaa ile, nikamjibu kuwa hata mimi niko mitaa hihii nimekufata wewe mkewangu watoto wanakuhitaji nyumbani!
Akadai mbona imekua ghafla, nikajibu imenibidi iwe hivoo sababu ukimya wako ulinifanya nihisi vibaya. basi wife akadai muda umeenda sana kwanini tusionane kesho asubuhi!
palepale mdogo wangu huyu ambae ni askari alinipokonya simu, nakuanza kulushiana maneno na mkewangu akitaka aseme yuko wapi muda ule tumfuate alipo. mkewangu akaishia kukata simu, na akawa hapatikani hewani
dah! mapenzi kitu kingine, why luv turn into venom! nitaimalizia nipo
The waves natoa stress🙁
Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.
Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.
Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.
Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
Utakuwa humpi mikito mizto, ukitaka heshima kwenye ndoa kwanza uwe unachakata vzr papucha yaan utaheshimiwa sna hata atakapokuwepo atakuwa anakukumbuka ndio kitu kikubwa muhimuNdugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.
Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.
Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.
Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
Kama hatombwi vzr akaponee wapi? Inabidi rfk yako aongeze maujuziAnatombwa moja kwa moja hakuna kumungunya maneno, hakuna sehemu wake za watu wanaliwa kama dodoma hasa kipind hich makao makuu yamehamia huko, namshauri bwana robertinho arud kwao atakufa kwa pressure