Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Il
Ila apate ushahidi kwanza
 
sahihi chief
 
3:Simulizi sehemu ya tatu ya mgogoro wa ndoa yangu.


Basi baada ya kupokea simu ngeni yenye maelekezo alipo mkewangu, nikawatarifu wadogo zangu pamoja na yule mshikaji uelekeo wetu ukawa ni maeneo ya makole (near pssf tower) pale pale dodoma

Kitu ambacho sikutaka kitokee ni aibu mbele ya hawa wadogo zangu , nikajaribu kupiga namba ya wife mybe nimpate hewani ,bahati nzuri simu ikawa inaita baada ya muda akapokea .

Mkewangu akawa anazungumza kama katoka usingizini,tena usingizi mzito huku akidai kazi zime mchosha. Basi nikamuuliza ukowapi mda huu!?

Akanijibu nipo sehemu × , nimaarufu sana kwa mitaa ile, nikamjibu kuwa hata mimi niko mitaa hihii nimekufata wewe mkewangu watoto wanakuhitaji nyumbani!

Akadai mbona imekua ghafla, nikajibu imenibidi iwe hivoo sababu ukimya wako ulinifanya nihisi vibaya. basi wife akadai muda umeenda sana kwanini tusionane kesho asubuhi!

palepale mdogo wangu huyu ambae ni askari alinipokonya simu, nakuanza kulushiana maneno na mkewangu akitaka aseme yuko wapi muda ule tumfuate alipo. mkewangu akaishia kukata simu, na akawa hapatikani hewani

dah! mapenzi kitu kingine, why luv turn into venom! nitaimalizia nipo
The waves natoa stress🙁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…