Happy 26 haruna moshi aka boban

Happy 26 haruna moshi aka boban

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] birthday imefanyika angani wakiwa njiani kuwafuata mbeya city
Mkuu naweza kupata official news juu ya birthday yake hiyo maana hapa najizuia kucheka nikijua ni matani.
 
Walianza kucheza wadogo sana[emoji1]
Niliona mdau mmoja katoa pendekezo eti Gaudence Mwaikimba apewe majaribio ya miezi 6 Simba kwa maana huko mtaani kawa mtamu.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kwani wanacheza wanarudi nyuma au wanaenda mbele.
 
Khaaaa ajibu amezidi kwakweliii 24????[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Tanzania wanajua kupindisha umri wa wachezaji sana.

Yule Ajibu leo unaambiwa ana 24 je ukiulizia Pius Buswita si utaambiwa na 16. Abdallah Shaibu (Ninja) hadi leo eti ni U23 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kweli kabisa mwaikimba mtamu balaa kina amis tambwe wanasubiri

Yupo arusha nilimuona mechi moja anakimbiza hatari

Sema watanzania tuna tabia ya kuwazeesha wachezaji wetu[emoji1][emoji23][emoji23]

Niliona mdau mmoja katoa pendekezo eti Gaudence Mwaikimba apewe majaribio ya miezi 6 Simba kwa maana huko mtaani kawa mtamu.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kwani wanacheza wanarudi nyuma au wanaenda mbele.
 
Bila kusahau chikupe ana miaka 18 heheee

Back
Top Bottom