Guerreiro
JF-Expert Member
- Dec 22, 2018
- 736
- 1,134
Fanya 17, 18 ni mingi.Bila kusahau chikupe ana miaka 18 heheee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya 17, 18 ni mingi.Bila kusahau chikupe ana miaka 18 heheee
Najua umeandika kujibu ya Emmanuel Okwi, hamtupati ng'o? [emoji2]Yule star mwenye miguu ya dhahabu amegonga 26 wanayanga mpo wapi tumpongeze kijana wwtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 978620
Boban mwenye ndoto za kucheza soka kimataifa alicheza mchezo wake wa kwanza akiwa na jezi ya young African sc dhidi ya tukuyu
Haya ajibu jiandae kusugua benchi
Najua umeandika kujibu ya Emmanuel Okwi, hamtupati ng'o? [emoji2]
Babu Kagere
Babu Wawa
Babu Okwi
Babu Haruna Niyonzima
Babu Bocco
etc
Boban ana miaka 31 hebu tuacheni utani
Tatizo liko wapi kunawachezaji wanaanza na umri mdogo kama fei toto ukijamsikia miaka 9 ijayo inamaana ndiyo atakuwa mzee tuache ushamba watanzania kila kitu chetu mnakipiga majungu hii dhambi sijui mliipata wapi?
Kaazi kweyikweyi. Wachezaji mpira wakiekwa na wasanii wa bongo movies wanazungumza lugha moja pasi tatizo.
Ila wanaipendaga hiyo 26 sijui umri huu huwa una raha gani maana wengi huwa inakomea hapo.
Ha ha haBoban na Ramadhan Wasso nimewachora sana.
Babu NyoniNajua umeandika kujibu ya Emmanuel Okwi, hamtupati ng'o? [emoji2]
Babu Kagere
Babu Wawa
Babu Okwi
Babu Haruna Niyonzima
Babu Bocco
etc
Duuu bongo bwana!View attachment 978792
Kumbe ni golden age eee. Haya wabakiage tu ipo siku huenda wakakua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 26 ni golden age kila mtu hutamani agande hapo angalau miaka mitano hasa wasanii
Babu Nyoni
Asee nimewaacha watuwakilishe kimataifaTulia we[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao wanaiwakilisha nchi kimataifa
Kumbe ni golden age eee. Haya wabakiage tu ipo siku huenda wakakua.
Asee nimewaacha watuwakilishe kimataifa
Nitakarbia panapo majaaliwa ya MunguKaribu taifa january 11
Nitakarbia panapo majaaliwa ya Mungu