Happy 26 haruna moshi aka boban

Happy 26 haruna moshi aka boban

Yule star mwenye miguu ya dhahabu amegonga 26 wanayanga mpo wapi tumpongeze kijana wwtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 978620

Boban mwenye ndoto za kucheza soka kimataifa alicheza mchezo wake wa kwanza akiwa na jezi ya young African sc dhidi ya tukuyu

Haya ajibu jiandae kusugua benchi
Najua umeandika kujibu ya Emmanuel Okwi, hamtupati ng'o? [emoji2]
Babu Kagere
Babu Wawa
Babu Okwi
Babu Haruna Niyonzima
Babu Bocco
etc
 
Tatizo liko wapi kunawachezaji wanaanza na umri mdogo kama fei toto ukijamsikia miaka 9 ijayo inamaana ndiyo atakuwa mzee tuache ushamba watanzania kila kitu chetu mnakipiga majungu hii dhambi sijui mliipata wapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeongea kwa hisia sana
Tatizo liko wapi kunawachezaji wanaanza na umri mdogo kama fei toto ukijamsikia miaka 9 ijayo inamaana ndiyo atakuwa mzee tuache ushamba watanzania kila kitu chetu mnakipiga majungu hii dhambi sijui mliipata wapi?
 
Kaazi kweyikweyi. Wachezaji mpira wakiekwa na wasanii wa bongo movies wanazungumza lugha moja pasi tatizo.

Ila wanaipendaga hiyo 26 sijui umri huu huwa una raha gani maana wengi huwa inakomea hapo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 26 ni golden age kila mtu hutamani agande hapo angalau miaka mitano hasa wasanii
Kaazi kweyikweyi. Wachezaji mpira wakiekwa na wasanii wa bongo movies wanazungumza lugha moja pasi tatizo.

Ila wanaipendaga hiyo 26 sijui umri huu huwa una raha gani maana wengi huwa inakomea hapo.
 
Duuu bongo bwana!
IMG-20181117-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom