Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kaanza kucheza ana miaka 15?
Kama kaanza kucheza ana miaka 15?
hahahaaaa mkuu hii kauli yako ya kuwazeeesha inanifurahisha sanaKweli kabisa mwaikimba mtamu balaa kina amis tambwe wanasubiri
Yupo arusha nilimuona mechi moja anakimbiza hatari
Sema watanzania tuna tabia ya kuwazeesha wachezaji wetu[emoji1][emoji23][emoji23]