[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nilimchora romario
Mkuu naweza kupata official news juu ya birthday yake hiyo maana hapa najizuia kucheka nikijua ni matani.
Malizia kabisa kwamba ni "young African"Jei zi wewe huoni hata yeye miaka nenda rudi ni young!.
Boban na Ramadhan Wasso nimewachora sana.
Niliona mdau mmoja katoa pendekezo eti Gaudence Mwaikimba apewe majaribio ya miezi 6 Simba kwa maana huko mtaani kawa mtamu.Walianza kucheza wadogo sana[emoji1]
Ifikie hatua tuheshimiane ....boban kua na 26 years haiwezekani labda dunia ianze upya.....mzee mzima huyo 26 wapi
African.Malizia kabisa kwamba ni "young African"
Ifikie hatua tuheshimiane ....boban kua na 26 years haiwezekani labda dunia ianze upya.....mzee mzima huyo 26 wapi
Khaaaa ajibu amezidi kwakweliii 24????[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Watu wenye 26 ni Ajibu ila naye anasema ana 24.
Thubutuuu yakeMaisha ni kupanga mkuu
Kama alianza akiwa mdogo sana[emoji56]
Tanzania wanajua kupindisha umri wa wachezaji sana.Khaaaa ajibu amezidi kwakweliii 24????[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Niliona mdau mmoja katoa pendekezo eti Gaudence Mwaikimba apewe majaribio ya miezi 6 Simba kwa maana huko mtaani kawa mtamu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kwani wanacheza wanarudi nyuma au wanaenda mbele.
Watu wenye 26 ni Ajibu ila naye anasema ana 24.
Aende afanye majaribio kwenye timu ya Mashujaa.Kweli kabisa mwaikimba mtamu balaa kina amis tambwe wanasubiri
Yupo arusha nilimuona mechi moja anakimbiza hatari
Sema watanzania tuna tabia ya kuwazeesha wachezaji wetu[emoji1][emoji23][emoji23]
Atajua mwenyewe ila yuropu wako makini na suala la umri la wachezaji, huwezi kuwauzia mbuzi kwenye gunia.Hehehe mbona unamuongezea ajibu miaka unataka asiende yurupu?
Kumbe bado kinda kabisa...
Nasikia Okwi juzi ndio kagonga 25!!??
Hivi ule wimbo wa "forever young" kaimba nani wandugu!?.
Tanzania wanajua kupindisha umri wa wachezaji sana.
Yule Ajibu leo unaambiwa ana 24 je ukiulizia Pius Buswita si utaambiwa na 16. Abdallah Shaibu (Ninja) hadi leo eti ni U23 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]