B Bizoo1 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2018 Posts 425 Reaction score 314 Dec 28, 2018 #81 Ngasa atakuwa na 25 kama sikosei
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 28, 2018 #82 Tuacheni na Boban wetu.
Watery JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 2,718 Reaction score 3,471 Dec 28, 2018 #83 Victor wa happy said: Kama kaanza kucheza ana miaka 15? Click to expand... Mtu wa miaka 15 anajulikana Picha za mtu wa miaka 15 na mtu wa 25 zinajulikana Mtu wa miaka 15 na 20 wanaweza kuendana kwa mbal ila sio mi na okwi
Victor wa happy said: Kama kaanza kucheza ana miaka 15? Click to expand... Mtu wa miaka 15 anajulikana Picha za mtu wa miaka 15 na mtu wa 25 zinajulikana Mtu wa miaka 15 na 20 wanaweza kuendana kwa mbal ila sio mi na okwi
Watery JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 2,718 Reaction score 3,471 Dec 28, 2018 #84 Victor wa happy said: Kama kaanza kucheza ana miaka 15? Click to expand... Af Tanzania unaanzaje kuwa star wa kutegemewa na tim una miaka 15
Victor wa happy said: Kama kaanza kucheza ana miaka 15? Click to expand... Af Tanzania unaanzaje kuwa star wa kutegemewa na tim una miaka 15
Mwakifulefule Atufigwege Member Joined Dec 5, 2019 Posts 78 Reaction score 71 Dec 29, 2019 #85 Victor wa happy said: Kweli kabisa mwaikimba mtamu balaa kina amis tambwe wanasubiri Yupo arusha nilimuona mechi moja anakimbiza hatari Sema watanzania tuna tabia ya kuwazeesha wachezaji wetu[emoji1][emoji23][emoji23] Click to expand... hahahaaaa mkuu hii kauli yako ya kuwazeeesha inanifurahisha sana
Victor wa happy said: Kweli kabisa mwaikimba mtamu balaa kina amis tambwe wanasubiri Yupo arusha nilimuona mechi moja anakimbiza hatari Sema watanzania tuna tabia ya kuwazeesha wachezaji wetu[emoji1][emoji23][emoji23] Click to expand... hahahaaaa mkuu hii kauli yako ya kuwazeeesha inanifurahisha sana