Happy B'daY Carleen

[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] I feel so sorry for you guys, Mungu azidi kuwapumzisha kwa amani hao mama zetu na azidi kuwafariji wapendwa wao. Amen
Asante Zoe. Don't take your mama for granted. Kuwa karibu naye. Usipitishe wiki bila kumjulia hali. Jifunze kutoka kwake kwa kadri inavyowezekana; na usichoke kumpa vizawadi mara kwa mara hata kama ni vidogo namna gani; na bila kujali kama ana uwezo ama la! Msamehe kwa makosa yake hata kama yeye ndiye amekukosea. Na mkumbushe mara kwa mara kwamba unampenda. Mwombee. Hakuna kama mama na wakija kuondoka aisee inauma sana. Ndiyo! Wapumzike salama huko waliko. One day tutaungana nao [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Shukrani sana Mr. Carlos kwa ushauri mzuri, utafanyiwa kazi..!!.
Blesses be upon you.!!
 
Big Bro,
I'm just speechless and out of words for this, thanks so much for always being there for Me, Hakuna Neno lako la busara kwangu litaanguka, won't ever let you down.!

Busara zako huwa zinanipa nguvu ya kuendelea mbele na kutokukata tamaa, Mungu akaendelee kutubariki na kutupa uzima na afya ili siku moja tukaushudie ukuu wake maishani mwetu.! Nitakuambia vizuri zaidi kule.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ