Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twinnie wa watu. Najua nina kesi ya kujibu; tena kubwa ajabu. Kwa leo naomba tu nikusalimie. Sherehekea salama kuzaliwa kwa Twinnie wako; na nyote mbarikiwe sana !!!Happy Womb Escape Day Twinnie!
You are important and you matter. Remember to always be happy, It's the cheapest gift ever.
Stay strong, accept the challenge and move on to higher pedestal.
Live it up Carleen and know you are worth the world!! Have a fantastic year ahead.
I love you.
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] baki huko hukoYaani ule Uzi
Nashindwa kutoka...halafu kibaya Zaidi nashindwa kwenda kwenye nyuzi nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kwako lini Paula?Happy birthday to her.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].aiseeee[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] baki huko huko
Ilikuwa January 5.Ya kwako lini Paula?
Missed it. Mwaka kesho nitakuwa standby kama nitakuwepo [emoji16][emoji1545][emoji1545]Ilikuwa January 5.
utakuwepo mkuu😇😇😇Missed it. Mwaka kesho nitakuwa standby kama nitakuwepo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tuombe iwe hivyo. Nawe nakuombea uwepo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]utakuwepo mkuu[emoji56][emoji56][emoji56]
asante👐👐👐👐Tuombe iwe hivyo. Nawe nakuombea uwepo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahaha!! Maskinii jina languu[emoji23][emoji23]...usinifanyie hivyo sisy😍[emoji23] [emoji23]
Popote napoona hili jina lazima nimkumbuke mchekaji wa nyuma ya mwembe.!!
Shukrani sana mrembo wangu.!!
I believe utakuwepo. Na ya kwako ni lini?Missed it. Mwaka kesho nitakuwa standby kama nitakuwepo [emoji16][emoji1545][emoji1545]
I believe utakuwepo. Na ya kwako ni lini?
Pole sana kwa kumpoteza mama.Asante Paula. Yangu ni December 12...ila huwa ina mixed feelings kwa sababu mamangu kipenzi pia alifariki December 12...
Aisee. Nitakuwa nafanya hivyo. Pole pia kwa kumpoteza mama. Inauma sana lakini hatuna la kufanya.Pole sana kwa kumpoteza mama.
Mama yangu alifariki December 19.
Sasa itabidi ya kwako usherekee kwa kupeleka maua kwenye kaburi. Na keki ukalie huko huko.
Asante Paula. Yangu ni December 12...ila huwa ina mixed feelings kwa sababu mamangu kipenzi pia alifariki December 12...
[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] I feel so sorry for you guys, Mungu azidi kuwapumzisha kwa amani hao mama zetu na azidi kuwafariji wapendwa wao. AmenPole sana kwa kumpoteza mama.
Mama yangu alifariki December 19.
Sasa itabidi ya kwako usherekee kwa kupeleka maua kwenye kaburi. Na keki ukalie huko huko.