Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Usifanye hivyo bhana....[emoji36] [emoji36] [emoji36][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji174] [emoji174] [emoji174] [emoji174]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifanye hivyo bhana....[emoji36] [emoji36] [emoji36][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji174] [emoji174] [emoji174] [emoji174]
He he he. Babu jamani una mamboKwa vitendo zaidi.... PM kule
Unanikatisha sana tamaa ujue.... mi ni mtoto wa mwanamke mwenzio ukae ukijua.He he he. Babu jamani una mambo
Unanikatisha sana tamaa ujue.... mi ni mtoto wa mwanamke mwenzio ukae ukijua.
Khaaaaa.....!!!!!
hahahahahahaha sasa nn ndo unitaki tena bebeeKhaaaaa.....!!!!!
Uniwache nipumuweeee!!hahahahahahaha sasa nn ndo unitaki tena bebee
hayaUniwache nipumuweeee!!
Naogopa mtoto wa mwanamume mwenzio, maana una vidosho wa kutosha, isije kuwa mmoja ni Admin nikaishia kula BAN, wakati mie JF ndio inanitoaga stressUnanikatisha sana tamaa ujue.... mi ni mtoto wa mwanamke mwenzio ukae ukijua.
Na mimi nataka!Hello wapendwa
Ni mara nyingine tena Babuu kapata kuonekana tena mwaka huu Mungu amemvusha na ameuona mwaka mwingine tena nami sina sababu ya kufurahia na kuenjoy pamoja nae babu Asprin na kumtakia afya njema na miaka mingi 100 mingine zaidi
Nawe rafiki mtakie wishes zake za kumbukumbu ya kuzaliwa kwake Asprin babuuuuuuuu
HAPPY BIRTHDAY BABU Asprin
ciao
Ladyf
hiyo ni zawadi yake atumie apunguze KITAMBI kwani ni majani ya kupunguza kitambi chake alichonacho hahahahahahhahaaaaaaaaaaaaa