Happy Birthday Asprin babuu

Happy Birthday Asprin babuu

Unanikatisha sana tamaa ujue.... mi ni mtoto wa mwanamke mwenzio ukae ukijua.


mary me😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😎😎🙁






IMG_20151222_050346.jpg
 
Unanikatisha sana tamaa ujue.... mi ni mtoto wa mwanamke mwenzio ukae ukijua.
Naogopa mtoto wa mwanamume mwenzio, maana una vidosho wa kutosha, isije kuwa mmoja ni Admin nikaishia kula BAN, wakati mie JF ndio inanitoaga stress
 
Hello wapendwa

Ni mara nyingine tena Babuu kapata kuonekana tena mwaka huu Mungu amemvusha na ameuona mwaka mwingine tena nami sina sababu ya kufurahia na kuenjoy pamoja nae babu Asprin na kumtakia afya njema na miaka mingi 100 mingine zaidi

Nawe rafiki mtakie wishes zake za kumbukumbu ya kuzaliwa kwake Asprin babuuuuuuuu

HAPPY BIRTHDAY BABU Asprin

ciao

Ladyf

hiyo ni zawadi yake atumie apunguze KITAMBI kwani ni majani ya kupunguza kitambi chake alichonacho hahahahahahhahaaaaaaaaaaaaa
Na mimi nataka!
 
Happy Birthday dear . May The Lord grant your Holy heart desire Amen.. Thanks.
 
Ha ha haaaa!!! Tehe tehe teheee!!!!!!! Kusema kweli huyu babu ananipa raha sana na posts zake mzee ana vijimaneno ambavyo kama havitakuchekesha basi vitakutabasamulisha, Long live Babu........
 
Back
Top Bottom