Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
anakusema tu wakati yeye shampeign tu mpaka dada everlenk kamsaidia(kidding) alipotelea kwenye foleni
Nimeishajivalia kivazi changu kwa ajili ya mapokezi na wageni ndio wanaanza kuingia
Hana shida dada yako.Uoga wako ndio utakuchelewesha kupata mume
Umesahau kama yeye yupo kwenye kamati ya chakula?
Nilikuwa namuhudumia kwanza mme wangu si unajua ndoa kazi sana???
yaani badala useme mtoto hali vilivyoungua ukamkumbuka mumeooo!!! duuuh haya mapenzi haya!!!
kumbeeeee!!! hapo sasa ndio umesema ukweli ulokuwa unaukwepa
eve
unasemaje???
hujambo dear wangu??
Ninakupa hongera katoto I mean haka kadogo kako kamekuwa kwelii....halafu usiogope mimi Mjasiriamali ni fursa tu za biashara ya champagne.
Umeona eeh? Hebu mwambie huyo siri ya kaka yake kuniganda