Happy birthday atoto!

Happy birthday atoto!

atoto inawezekana hata miaka ya kuazaliwa tumelingana,duh nimekuzidi kwa masaa

alafu inawezekana ikawa kweli hii km ni masaa basi ww ni twin kabisa, nao si huzidiana kwa masaa?
 
Last edited by a moderator:
yaani badala useme mtoto hali vilivyoungua ukamkumbuka mumeooo!!! duuuh haya mapenzi haya!!!

kumbeeeee!!! hapo sasa ndio umesema ukweli ulokuwa unaukwepa

Mapenzi yanarun dunia.Mume kwanza sherehe baadae.Ila si unaona sijachelewa ni huyo Kaizer alikuwa ananiharakisha tu nije kupokea wageni
 
Last edited by a moderator:
thanks alot!!! duuuh uninue unaanzia wapi labda dear, nitakuimbia tu mapenzi yanarun dunia mwenyewe utafurahi, karibu keki mama

Hahah,asante mwaya,
Mapi huyu ni shemejiyo
 
Last edited by a moderator:
Ninakupa hongera katoto I mean haka kadogo kako kamekuwa kwelii....halafu usiogope mimi Mjasiriamali ni fursa tu za biashara ya champagne.

hapana chezea fursa ikijitokeza mama lazima uchangamke
 
Back
Top Bottom