Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
wapo ila wanajifanya hawakuoni eti!
Wananiogopaga hao
Harakisha baby ake twendw kwen huy mnuso maandalizi yake hatare kabisa si unaona afu tusipoangaliaa huyu mtoto watamwiba
hahaaaa!! we nithingidhie tu! Honey Faith hivi humu jf kila mtu ana mume? Kaizer mbona hii kitu siielewi, alafu babu Dark City kapotelea wapi jamani, mwambie aje amlishe mjuu keki
Mkuu mwenzangu nilijua kazi ya wajukuu hii ndipo mwito unanoga😛
Mkuu mwenzangu nilijua kazi ya wajukuu hii ndipo mwito unanoga😛
Hahah looh, mpenzi basi yaishe sirudii tena
Huyu nitamalizana naye soon....
Maandalizi yana dalili za usalama lakini??
Spendi kuona wajukuu zangu wanafanywa futari.....!!
usalama upo wa kutosha
Sawa...ila hakikisha kuwa pressure ya babu haitiwi kwenye msukosuko....Huu si umri wa kuchezea afya ya moyo ujue!!