Happy birthday atoto!

Happy birthday atoto!

hahaaaa!! we nithingidhie tu! Honey Faith hivi humu jf kila mtu ana mume? Kaizer mbona hii kitu siielewi, alafu babu Dark City kapotelea wapi jamani, mwambie aje amlishe mjuu keki

Hongera sana Katoto,

Kumbe leo ndo umezaliwa?? Poa, ngoja nimwambie Bibi tuwahi..

Ila naomba unisaidie kumuuliza mzee mwenzangu Kaizer, ...kwa nini ananibania wakati mimi sina maslahi binafsi???

Twaja soon!!
 
karibuni sana babu Dark City na bibi, Kaizer hata ckumuelewa ndio maana nikakuita maenyewe
 
Last edited by a moderator:
Weee ishia apo apo sie hatujakuchoka labda ujiibishe

hahahaaaa!! na mimi nataka nikaambiwe maneno kama yaleee alokuwa anayasema Ntuzu yale magumu magumu yaleeee
 
Last edited by a moderator:
Happy bdy atoto kua uwe akubwa sasa hongela sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom