Nilipoona habari ya Aunty Ezekiel nikashangaa kuiona picha ya mtu mwingine... nikaona sio issue, issue ni habari... nikaendelea mbele, eh hii msg nikalazimika kurudi nyuma... yaani mh! Ningekuwa Mluguru ningeendelea kukataa kwamba sio Aunt Ezekiel huyo!Make up hiz zinabadilisha watu yaan utadhan sio yeye hapo
Sasa akipata ajali ya moto si atageuka kuwa nyama choma tena au mishikaki ya Mangi?!mwe....kweli Mungu akupi vyote.....
lakini.dawa ya jasho ipo....kama anaweza awe anakamua juice ya ndimu au limao.....afu anapaka mwili mzima haswa kwapani.......awe anafanya hvyo kila siku asubuh na jioni.....akiendelea kunuka basi ......ana kilema cha jasho.....
Mtoto mtamu, ila sema nasikia ananukaga jasho hatar, yan ana jasho baya uyo unaweza mkimbia, kwapa linatema
Sasa akipata ajali ya moto si atageuka kuwa nyama choma tena au mishikaki ya Mangi?!
Wenyew wanakazana na mapafyumu ya milion moja lakin bado pafyumu na jasho vinajitenga yan ana kwapa kali mno, aunty ana nyama nyama flani iv halafu nzito so ikipata jua na joto binamu walahi hatukai
Hahahaaaaa uwiiii you guys are killin me!!!! Hahahaaaaa
Na yeye anatimiza miaka mingapi? Keshafika 20 au ndo ametimiza sasa?manake dadaz wa dar es salaam,ah wana mambo ile mbaya... ni Lulu peke yake ndie alijiongezea umri baada ya kuona wanamsemanga kwamba eti katimuliwa ITV baada ya kuonekana hajatulia na mwenyewe kusema hajatimuliwa ila umri wake ushakuwa mkubwa kuendesha kipindi cha watoto!! Maajabu hayakuisha, alipokumbwa na tuhuma za mauaji ya Kanumba, ehe! Si akaukana tena ule umri mkubwa na kusema yeye ndo kwanza yupo under 18!!!
Hhhhhhaaaa bina kapewa zawadi gani na muhemishiwaa wa utaliii????
Amenitmiza miaka mingapi? manake hawa hawakui..........
Hivi hii kitu kunuka jasho ni nini?kuna kijana mmoja hapa ofisini kwetu alikuwa terminated simply kwa sababu ya jasho na harufu mbaya toka miguuni,hata aoge vipi na avae sandals wapi. Mkisafiri naye katika gari utatamani ushuke kwenye gari utafute usafiri mwingine!
Hamzidi member flani hapa kwa kunuka kwapa
Hivi hii kitu kunuka jasho ni nini?kuna kijana mmoja hapa ofisini kwetu alikuwa terminated simply kwa sababu ya jasho na harufu mbaya toka miguuni,hata aoge vipi na avae sandals wapi. Mkisafiri naye katika gari utatamani ushuke kwenye gari utafute usafiri mwingine!
Mtoto mtamu, ila sema nasikia ananukaga jasho hatar, yan ana jasho baya uyo unaweza mkimbia, kwapa linatema
Ah, sio issue manake mheshimiwa keshazoea jasho la wanyama pori seuze la mwanadamu anayejimwagia manukato!