Mtihani ni pale wanapokutana sasa mzee anayekula ujana uzeeni na kijana anayekula ujana ujanani basi huwa hapatoshi.Haka kausemi kao katawaponza maana vijana wa siku hizi nao wanausemi wao unasema wazee nyakati zao zimepita
Ukiona mzee anahangaika uzeeni ujue ujana wake alikuwa mzembe [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Hujaenda kusali weweWewe ndiye unanisumbua.. biblia sikuhizi ni simu.
Hahaaa. Kule Uchagani ndio mwake hivyo naamini Babu naye atakuwa anatumia hiyo kitu.
Hiyo Kimpumu pia itapendeza zaidi.
Wazee hawashindi ila wanatumia hela na mabinti wa kileo wanapenda chenji za wazeeMtihani ni pale wanapokutana sasa mzee anayekula ujana uzeeni na kijana anayekula ujana ujanani basi huwa hapatoshi.
Ila mwisho wa siku wazee ndio wanakuwa washindi kwa sababu ya Busara zao na hekima pia. Hahahaaaa.
Cc Babu Asprin.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] Nimeipenda hii.
Hongera zako rafiki wa Emmy.
Hahahaaa. Unadhani vijana hawana hela shida yao walio wengiwana mikono ya birika sana aisee, hivyo wategemee tu kusaidiwa na kina babu Asprin.Wazee hashindi ila wanatumia hela na mabinti wa kileo wanapenda chenji za wazee
Na vijana wakekuwa nazo wazee wangekuwa hawafui dafu hata kidogo
Dah..hiki si kilio kama kile cha muumini mwinjuma? Kimfikie Asprin "dr rama"Ashushie na hii
View attachment 681282
Ewaaaa. Babu ushindwe mwenyewe hapo.Ashushie na hii
View attachment 681282
Nimecheka sana Babu.I love you too Emmie...
Hapo naona unajitahidi kumtetea jirani yako ila Mimi najua vijana sio mkono wa birika ila mabinti wengi wanapenda pesa kuliko tunazo kuwa nazo sisi vijanaHahahaaa. Unadhani vijana hawana hela shida yao walio wengiwana mikono ya birika sana aisee, hivyo wategemee tu kusaidiwa na kina babu Asprin.
Eeh Miss Natafuta kumbe na ww una mitego andamizi kama hii?[emoji12] [emoji12] [emoji12]happy birthday nikupe nini ufurahi?
Hahaaa. Usijali Babu. Ila hiyo ndio raha ya kuwa na Vitukuu.Mi leo nakusoma tu mamii. Sipendi ugomvi ujue...
Hutaki nimpe zawadi ?Eeh Miss Natafuta kumbe na ww una mitego andamizi kama hii?[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hebu nitag akikujibu[emoji18]
Haaa mambo ni motoooo najua Sky Eclat hawezi kukubali upuuzi huuHahah. Natumaini birthday babu hajaenda huku kwa vijana kama maandalizi ya kusherehekea siku ya leo
View attachment 681287