Happy Birthday Babu ODM

Happy Birthday Babu ODM

Haka kausemi kao katawaponza maana vijana wa siku hizi nao wanausemi wao unasema wazee nyakati zao zimepita

Ukiona mzee anahangaika uzeeni ujue ujana wake alikuwa mzembe [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Mtihani ni pale wanapokutana sasa mzee anayekula ujana uzeeni na kijana anayekula ujana ujanani basi huwa hapatoshi.

Ila mwisho wa siku wazee ndio wanakuwa washindi kwa sababu ya Busara zao na hekima pia. Hahahaaaa.

Cc Babu Asprin.
 
Ashushie na hii
26180674_427026214421229_5877018830194081792_n.jpg

Hahaaa. Kule Uchagani ndio mwake hivyo naamini Babu naye atakuwa anatumia hiyo kitu.

Hiyo Kimpumu pia itapendeza zaidi.
 
Mtihani ni pale wanapokutana sasa mzee anayekula ujana uzeeni na kijana anayekula ujana ujanani basi huwa hapatoshi.

Ila mwisho wa siku wazee ndio wanakuwa washindi kwa sababu ya Busara zao na hekima pia. Hahahaaaa.

Cc Babu Asprin.
Wazee hawashindi ila wanatumia hela na mabinti wa kileo wanapenda chenji za wazee

Na vijana wangekuwa nazo wazee wangekuwa hawafui dafu hata kidogo
 
Mtihani ni pale wanapokutana sasa mzee anayekula ujana uzeeni na kijana anayekula ujana ujanani basi huwa hapatoshi.

Ila mwisho wa siku wazee ndio wanakuwa washindi kwa sababu ya Busara zao na hekima pia. Hahahaaaa.

Cc Babu Asprin.
Mi leo nakusoma tu mamii. Sipendi ugomvi ujue...
 
Hahahaaa. Unadhani vijana hawana hela shida yao walio wengiwana mikono ya birika sana aisee, hivyo wategemee tu kusaidiwa na kina babu Asprin.
Hapo naona unajitahidi kumtetea jirani yako ila Mimi najua vijana sio mkono wa birika ila mabinti wengi wanapenda pesa kuliko tunazo kuwa nazo sisi vijana

Sasa hawa wazee hawana malengo wanamalizia unit zao zilizo baki lazima watumie ili wasije kuziacha tukafaidi wengne
 
Back
Top Bottom