Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mtihani ni pale wanapokutana sasa mzee anayekula ujana uzeeni na kijana anayekula ujana ujanani basi huwa hapatoshi.Haka kausemi kao katawaponza maana vijana wa siku hizi nao wanausemi wao unasema wazee nyakati zao zimepita
Ukiona mzee anahangaika uzeeni ujue ujana wake alikuwa mzembe [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Ila mwisho wa siku wazee ndio wanakuwa washindi kwa sababu ya Busara zao na hekima pia. Hahahaaaa.
Cc Babu Asprin.