Happy birthday baby STUNTER

Happy birth day broo baraka za mungu zikushukie hadi zikulemee zikutese[emoji86]
 
Bado niitie bas huku kwangu naona kipasa sauti kimeisha betri
Anaitwa nani vilee..maana mahaba ya meno ga tunaitana baby honey mamy mpaka majina yet tumeysahau
 
Happy birth day broo baraka za mungu zikushukie hadi zikulemee zikutese[emoji86]
Jmn jmn simtese tena? Kwa taarifa yako Mungu humpa mja wake baraka anazoziweza tu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]

Sitaki mpnz wangu ateseke
 
Anaitwa nani vilee..maana mahaba ya meno ga tunaitana baby honey mamy mpaka majina yet tumeysahau
Tulia utakumbuka tu. Ukiona hukumbuki ujue humpendi
 
Wewe mgeni humu ndani au unajifanya unafanana na id yako mkuu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
Haa.mie mgeni bhana maeneo haya.nimegundua humu ndani ukijifanya mgumu sana.utakuwa mwanachama wa chaputa mpaka unakufa.
 
Jmn jmn simtese tena? Kwa taarifa yako Mungu humpa mja wake baraka anazoziweza tu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]

Sitaki mpnz wangu ateseke
[emoji13] [emoji13] sasa mkuu si ni baraka,,
 
Kwa msg hii wale wote ambao hawako kwenye mikono ya wazazi wanaoweza kutoka kuanzia saa 2uck na kuendelea tukutane Ramada. Keki itakatwa kuanzia saa 3uck.
Karibuni wote.
Sasa ole wako nijikwatue kwatuu afu nije niwakose hapo ramada.

Happy birthday STUNTER Mungu akujalie birthday nyingine nyingi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…