Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Nina dawa yakoUwiii nimejisahau tena. Niwe natembea na miwan ya mbao nahis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina dawa yakoUwiii nimejisahau tena. Niwe natembea na miwan ya mbao nahis
Muulize huyo unaenichungulia tukiwa wote akusimulie..tena simulianeni kwa Vitendo ohoooIkoje shem hiyo dawa
Amekuambia? ?Hahahhahahaha
Happy birth day broo baraka za mungu zikushukie hadi zikulemee zikutese[emoji86]Hubby, bby, darling ooops my everything[emoji106] [emoji106] I don't wanna God to give u much but to give you what you deserve according to His will. No man shall go against God's will into your life. Isayah 54:17, I pray that you live happy and longer life and you shall testify of His goodness. Psalm118:17. This will surely come as our God is not a liar, when He says YES no one can say NO. Numbers 23:19
Happy birrhday darling!!!!!!!
Anaitwa nani vilee..maana mahaba ya meno ga tunaitana baby honey mamy mpaka majina yet tumeysahauBado niitie bas huku kwangu naona kipasa sauti kimeisha betri
Jmn jmn simtese tena? Kwa taarifa yako Mungu humpa mja wake baraka anazoziweza tu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]Happy birth day broo baraka za mungu zikushukie hadi zikulemee zikutese[emoji86]
Haa.mie mgeni bhana maeneo haya.nimegundua humu ndani ukijifanya mgumu sana.utakuwa mwanachama wa chaputa mpaka unakufa.Wewe mgeni humu ndani au unajifanya unafanana na id yako mkuu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
[emoji13] [emoji13] sasa mkuu si ni baraka,,Jmn jmn simtese tena? Kwa taarifa yako Mungu humpa mja wake baraka anazoziweza tu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
Sitaki mpnz wangu ateseke
Sasa ole wako nijikwatue kwatuu afu nije niwakose hapo ramada.Kwa msg hii wale wote ambao hawako kwenye mikono ya wazazi wanaoweza kutoka kuanzia saa 2uck na kuendelea tukutane Ramada. Keki itakatwa kuanzia saa 3uck.
Karibuni wote.
Haya nisamehe yaisheHatutaki jmn mbona huelew. Am answering for him majukumu yamembana.