Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Nitaachaje vile kuna mtu nataka kumkamatia hapoMbona shem una haraka? Kwenye keki si unakuja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaachaje vile kuna mtu nataka kumkamatia hapoMbona shem una haraka? Kwenye keki si unakuja?
Nishakuwa shemeji yako tena!![emoji134] [emoji134] [emoji134]Eeeh au!! Utoto shem [emoji5]
Haha... ile mbinu imenishida.Nishakuwa shemeji yako tena!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Chaaah!! Basi hunifai kama ndio unakata tamaa mapema hivyo!!Haha... ile mbinu imenishida.
Huku siunajua tunakulaga
Nina mkuki nataka kuutoboa mwamba wakati wenye bunduki mbele yako wameshindwa tamba.Chaaah!! Basi hunifai kama ndio unakata tamaa mapema hivyo!!
Wacha we!!Nina mkuki nataka kuutoboa mwamba wakati wenye bunduki mbele yako wameshindwa tamba.
Pale unapojua majukumu yako ...inapendeza sana kuona unakuwa mlezi mwema...maisha marefu stunterHubby, bby, darling ooops my everything[emoji106] [emoji106] I don't wanna God to give u much but to give you what you deserve according to His will. No man shall go against God's will into your life. Isayah 54:17, I pray that you live happy and longer life and you shall testify of His goodness. Psalm118:17. This will surely come as our God is not a liar, when He says YES no one can say NO. Numbers 23:19
Happy birrhday darling!!!!!!!
Kweli ati....Wacha we!!
Uza ununue kitochi.Kweli ati....
Au unataka niuze kila kitu mpaka haka kasmart phone tushindwe kuwasiliana. maana password zote nilishakupa.
Bora nirudie Zama zangu...wewe hunitakiii memaUza ununue kitochi.
Umeanza kunichungulia eeeh!Wacha weeee