Bantu Lady anaenda nje ya mji kusherekea birthday na nani π€
Barikiwa sana tumekumiss sana Ankol. Iishe tu urudi bana. Nashukuru kwa uwepo wako leo hapa. Niko na raha tu leo ππππ Babu Mwehuπ π Kama kawa hata nzi hakatishiii yani.. ulinzi na usalama kama wote... huku tukiendele kula vibe za birthday Girl Bantu Lady wa ukweli, malaika wa roho asie na bayaa wala hilaaa.. aishi tu yani maisha marefu akitaka na mika yangu namkopesha π π π ...
Babu aliona jana isiwe case aje kuwasalimia wajukuu wake hasa alipo ona kuna mjukuu mmoja leo ni siku yake ya kuzaliwaa
Asante sana DR SANTOS barikiwaHappy birthday kwake
πππππ shukrani sana Ankol kwa wimbo huu wa Birthday. DJ kama DJ katika 1 na 2 πͺπͺπͺ Babu MwehuAmeeeena kubwaaaaa ya radiii π€©π€©π€©ππ
Gorgeous achaguee ka nyota tano kepii tukale kekiii hadi paluche maaana Babuuu na wajukuuu wake kama samaki na majeeeee.... πππ
View attachment 2662893
Thank you mrembo mwenye roho yako. Barikiwa sana na nakupenda sana πππππ AntonniaEnjoy your special day to the fullest bestiee!!πππ₯³π₯³!! !!
Nakupenda zaidi mwanamke wa shoka unayejiamini. Asante sana To yeyeNakupenda sana.....Mungu akuongoze Kwa Kila hatua mwanamke mwenzangu.Nakupenda tenaπππ
Happy birthday π loveHelloowww guyss!!!
Today a true queen was born and I take this chance to wish her a very sweet, happy , lovely ,enjoyable, and an ameizing birthday!
Mary God bless you and grant you many more years to celebrate!
Happy birthday Bantu Lady
View attachment 2662769View attachment 2662770
Usijaleeeee aunt.. wa ukweeee... tuma tu invoice tufanye ma transaction... ukule rahaaa mwayaaa aunt wanguWow asante sana Ankol yaani umesema Hotel nikajua ni Ankal anajua napenda mahotel miye ππππππ usijali niko njiani bill kwako πͺ Babu Mwehu
ilibidi Babu Mwehu jana atoke kijijini kuja kukuwish tu.. leo huyo anarudi kijiji kucheza na wajukuu π π π πBarikiwa sana tumekumiss sana Ankol. Iishe tu urudi bana. Nashukuru kwa uwepo wako leo hapa. Niko na raha tu leo ππππ Babu Mwehu
πΆShe moves like tahh tahhh tahhhππΌπππππ shukrani sana Ankol kwa wimbo huu wa Birthday. DJ kama DJ katika 1 na 2 πͺπͺπͺ Babu Mwehu
Na mumeweBantu Lady anaenda nje ya mji kusherekea birthday na nani π€
Happy birthday π to her may she have long life and prosper. .
Tena shemeji yetu mkali sana π€£π€£π€£Akhsaaannteeeeeeeeeeeehhh!!!