Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Nisamehe rafiki, kuwa sehemu mbili kwa wakati mmoja, kukaniwia vigumu. Nami nilipenda kuwepo hapa jana sema ndiyo hivyo. Umenisamehe eeh? πππ Satoh HiroshSijapenda.
Nilitaka nikuoige fine ya kuchelewa.
Program Manager asante sana πββοΈBantu Lady ukimaliza kureply birthday wishes njoo PM nina zawadi special tafadhali π
Hujanikosea,tuko pamoja Sana binti mrembo.Nisamehe rafiki, kuwa sehemu mbili kwa wakati mmoja, kukaniwia vigumu. Nami nilipenda kuwepo hapa jana sema ndiyo hivyo. Umenisamehe eeh? πππ Satoh Hirosh
SHukrani sana Doctor G nami nafurahi kwa upendo huu πHBD Bantu Lady bado tunakuhitaji...
Shukrani rafiki yangu π pamoja.Hujanikosea,tuko pamoja Sana binti mrembo.
Maashaa AllahHelloowww guyss!!!
Today a true queen was born and I take this chance to wish her a very sweet, happy , lovely ,enjoyable, and an ameizing birthday!
Mary God bless you and grant you many more years to celebrate!
Happy birthday Bantu Lady
View attachment 2662769View attachment 2662770
Muda badoo unaruhusuuuu mkuu zawadiii pia bado zinapokelewa na mwenyewe Bantu Lady mamaa la mamaa the African queeeennnππ!Maashaa Allah
Maashaa Allah
Maashaa Allah
Nilikuwa wapi jana masikini ya Mungu mimi mpaka nachelewa kumu wish kichanga huyu.
Nimeishiwa pozi kabisa juu ya huyo katoto karembo....
Sijui kama picha ya mtoto huyu kama imeletwa hapa jukwaani
Please Antonnia fanya kutuletea picha ya Bantu Lady hapa haraka iwezekanavyo
Happy womb escape day Mrembo Mwenye urembo wake Bantu Lady
Laiti nisingechelewa kukuwish basi jukumu la cake na location ya parry ningejikabidhi bila shuruti.
Lakini sio mbaya naomba Irudiwe Irudiwe β₯οΈβ€οΈβ₯οΈ
Asante sana dear Tayukwa Barikiwa. Usijali, ilienda salama. Nashukuru itabidi tupange na Tonnia pamoja Ankol, Chino bila kumsahau Mmasai mzee wa Ini π π π π irudiwe.Maashaa Allah
Maashaa Allah
Maashaa Allah
Nilikuwa wapi jana masikini ya Mungu mimi mpaka nachelewa kumu wish kichanga huyu.
Nimeishiwa pozi kabisa juu ya huyo katoto karembo....
Sijui kama picha ya mtoto huyu kama imeletwa hapa jukwaani
Please Antonnia fanya kutuletea picha ya Bantu Lady hapa haraka iwezekanavyo
Happy womb escape day Mrembo Mwenye urembo wake Bantu Lady
Laiti nisingechelewa kukuwish basi jukumu la cake na location ya parry ningejikabidhi bila shuruti.
Lakini sio mbaya naomba Irudiwe Irudiwe β₯οΈβ€οΈβ₯οΈ
Wapiiii Deeeeeeeeejjjjjjjjayyyy ππππΊπΊπΊπΊπππππ!!!Asante sana dear Tayukwa Barikiwa. Usijali, ilienda salama. Nashukuru itabidi tupange na Tonnia pamoja Ankol, Chino bila kumsahau Mmasai mzee wa Ini π π π π irudiwe.
Namsubiria Bantu Lady aje kuniambia kama ameanza kutumia shampain badala ya pipi kijiti kama watoto wenzake au big boomMuda badoo unaruhusuuuu mkuu zawadiii pia bado zinapokelewa na mwenyewe Bantu Lady mamaa la mamaa the African queeeennnππ!
Do the needful umtoe leo mkuu pia kekii zipoo kila leooo na shampain kama zoutreeee unamuachaje mtrotro mkareee kikavu hivooπ₯πΎπΎπ₯π₯π₯πΎπΎ!!
Foto nafanya mafekecheee Usijareee kabesaaa!!
Pipi kijiti kama pipi kijiti ausio πππ!!Namsubiria Bantu Lady aje kuniambia kama ameanza kutumia shampain badala ya pipi kijiti kama watoto wenzake au big boom
Nakugawa pipi kijiti gani hiyo πππππPipi kijiti kama pipi kijiti ausio πππ!!
Usijareee kabesaaa Anakujaaaa !!
Bantu Lady unaulizwaa hukuuuπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ
Wow! FantasticAsante sana dear Tayukwa Barikiwa. Usijali, ilienda salama. Nashukuru itabidi tupange na Tonnia pamoja Ankol, Chino bila kumsahau Mmasai mzee wa Ini π π π π irudiwe.
Umechelewa Tayukwa jana ndiyo nilikuwa nakula pipi kijiti. Leo nishaanza Alcohol kabisa. Kwahiyo bajeti inone π π π πNamsubiria Bantu Lady aje kuniambia kama ameanza kutumia shampain badala ya pipi kijiti kama watoto wenzake au big boom
Ya watoto wenzako au mdomo wako mdogo utauma? π€£π€£Nakugawa pipi kijiti gani hiyo πππππ
Watruuuu Weeeuuuuwweeehh πππΊπΊWow! Fantastic
Hongera kwa siku yako ya pekee nakuombea uwe na baraka tele.
My promise is....
Kama kweli hii siku itarudiwa basi nitakuwa na ticket nne(kwa watu wanne) za boat kwenda na kurudi Zanzibar kwa mapumziko ya siku mbili tukiwa huko.
Utaniandalia/utachagua watu wako muhimu wa kujumuika nasi huko.
Hao watu kwangu watakuwa na uzito wa kalamu tu mfukoni mwangu kwa hiyo hawatokuwa mzigo wowote kwangu wakiwa huko... Kuanzia mapumziko yao na kila kitu wakiwa huko itakuwa under my control Kwako Malkia Bantu Lady
Niitie ndugu yako Antonnia
Wow asante sana, tutafanya hivyo haina shida kabisa. Tonnia Zanzibar tunayo hatuna ππππππWow! Fantastic
Hongera kwa siku yako ya pekee nakuombea uwe na baraka tele.
My promise is....
Kama kweli hii siku itarudiwa basi nitakuwa na ticket nne(kwa watu wanne) za boat kwenda na kurudi Zanzibar kwa mapumziko ya siku mbili tukiwa huko.
Utaniandalia/utachagua watu wako muhimu wa kujumuika nasi huko.
Hao watu kwangu watakuwa na uzito wa kalamu tu mfukoni mwangu kwa hiyo hawatokuwa mzigo wowote kwangu wakiwa huko... Kuanzia mapumziko yao na kila kitu wakiwa huko itakuwa under my control Kwako Malkia Bantu Lady
Niitie ndugu yako Antonnia
Bestie unakosaje tena yaani bora nisiende, uende. Hii imepita na ndiyo namba moja kwa list πππWatruuuu Weeeuuuuwweeehh πππΊπΊ
Santrooo sanaaaaa bossiiiii mambo si ndo hayooo sasa auweeeeee!!
( Navofurahi sasa utadhani namie nimeambiwa nipo kwa list ya wanne ππ€π!)