Happy birthday Bantu Lady

Bestie unakosaje tena yaani bora nisiende, uende. Hii imepita na ndiyo namba moja kwa list 😘😘😘
Waaatruuuuuuu weuweeeeeeeeeπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•Ί!!

Wapiii Deeeeeeeeejjjjjjjjayyyy πŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ˜
 
Umechelewa Tayukwa jana ndiyo nilikuwa nakula pipi kijiti. Leo nishaanza Alcohol kabisa. Kwahiyo bajeti inone πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kwa hiyo kuna mtu kakununulia Bantu Lady pipi kijiti kimya kimya mpaka mdomo ukashindwa kushirikisha vidole kuitikia wish zetu humu hiyo jana!
Jukumu la pipi nilikabidhiwa mimi na mkuu wa kaya wa uzi huu mtoto wa kuitwa Antonnia baada ya kuona nimeshindwa kufanya ma wonder kwenye cake sasa nani kakuruhusu upokee pipi nyingine? πŸ˜”πŸ˜”
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣!! Mie nasubiria mkitoka zenji mnijie na zawadii tyuuuuπŸ’ƒπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Kwani we hutochaguliwa kwenda?
Kwani we si ndio chawa mkuu wa Bantu🀣🀣🀣🀣
 
Mkuu wa kayaaa🀣🀣🀣🀣🀣🀣!

Hakuna kilichobadilikaaa bossiii kubwaaaa Inarudiwaaa Inarudiwaaa!! Weewee treinnnaah😁😁😁😊😊!

Anything for Bantyyyyyuu reideee you know!!
 
Wow asante sana, tutafanya hivyo haina shida kabisa. Tonnia Zanzibar tunayo hatuna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Trunaaaaayooo weeeeeeeehh!!🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸!!
 
Pipi kijiti kama pipi kijiti ausio 😁😊😊!!
Usijareee kabesaaa Anakujaaaa !!
Bantu Lady unaulizwaa hukuuuπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ˜
Wewe sikugawi ila nitaenda Bukoba kukubadilisha na mkungu wa ndizi mzuzu🀣🀣
Kwani we pipi kijiti gani ambayo unajua utam wake na umewahi kuila ukiwa na umri gani?
 
Kwani we hutochaguliwa kwenda?
Kwani we si ndio chawa mkuu wa Bantu🀣🀣🀣🀣
Ndohuyoooo huyoooo hakuna mwingineeee πŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈ!!

Mbantu mtrotro mkareee kinoumaaa Naachaje kuwa chawa wakee kwa mfanoo weeeeeehh!!😁🀭
 
Mkuu wa kayaaa🀣🀣🀣🀣🀣🀣!

Hakuna kilichobadilikaaa bossiii kubwaaaa Inarudiwaaa Inarudiwaaa!! Weewee treinnnaah😁😁😁😊😊!

Anything for Bantyyyyyuu reideee you know!!
C.... Promax 🀣🀣🀣
Wewe ni zaidi ya chawa wa mama🀣🀣🀣
 
Wewe sikugawi ila nitaenda Bukoba kukubadilisha na mkungu wa ndizi mzuzu🀣🀣
Kwani we pipi kijiti gani ambayo unajua utam wake na umewahi kuila ukiwa na umri gani?
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣,!

Mkungu wa ndizi na senenee🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣!!
Kwanza Ndizi zinalainisha maungooo asavali nilainishepo lol!!πŸ˜›πŸ˜‚!

Pipi kijiti kama pipi kijiti bana...!

Hebu kwanza .. sory umeuliza mara ya mwisho kula au???πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜πŸ˜πŸ˜

Unajua mie kilazaaa bichwa langu gumu kuelewa 😁!
 
C.... Promax 🀣🀣🀣
Wewe ni zaidi ya chawa wa mama🀣🀣🀣
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka hapa. Kumbe unavituko hivyo eeh Tayukwa jamani ni pipi kijiti za watoto tu. Sema leo nimeanza wine kabisa. Aliyeninunulia pipi simtaji hapa Tonnia anamjua πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ au safari ya Zanzibar tutanyimwa? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wee Tayukwa na Bantu Lady namie mnitafutie wa kunipa pipi kijiti kwaniii msintanieeee !!
Haiwezekani mpeane pipi pekeenu rafiki yenu nimezubaa tyuu hapaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Š,!
 
Weee asitutanieeer akili ishahityuni hapaaa lol!!
Mkuu Tayukwa zenji tunaenda hata kwa ungoo wee fanya mafekecheee hukooπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wee Tayukwa na Bantu Lady namie mnitafutie wa kunipa pipi kijiti kwaniii msintanieeee !!
Haiwezekani mpeane pipi pekeenu rafiki yenu nimezubaa tyuu hapaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Š,!
Chizi unajua wewe mtoto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyu rafiki Tayukwa sijui jana alikuwa wapi. Leo anakuja na mambo ya pipi ya kijiti. Alikimbia jukumu la cake nini? Hatuli pipi kijiti sisi atoe mawine hapa.
 
Kumbe upo vizuri namna hii mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Chizi unajua wewe mtoto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyu rafiki Tayukwa sijui jana alikuwa wapi. Leo anakuja na mambo ya pipi ya kijiti. Alikimbia jukumu la cake nini? Hatuli pipi kijiti sisi atoe mawine hapa.
Kasema tujiandae kwa trip zenjiiii uwepo wetruu tyuuu kila kitu kwakeeee au alikua anamtania kachanga lolπŸ˜ŠπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…