Asante auntie π€π€π€π€,Hongera pamoja na utukutu, kichwa kina charge naona mdogo ake vizuri sana.
Haha yeah na alijua Ni utoto tu ule!Yanii sikuhizi Mitihani ni myepesi sana majibu waziwaziiii.... hao watoto sasa akili zao wanazijua wenyewe tu!
Hahahaaa...Sekond hapo lazima mlikua marafiki;
π€£π€£π€£π€£π€£, ntakuambia siku moja tu, na matokeo yangu nitakupa uyaone just wait π π π π πYeahhh dakika za majeruhi ukikomaa unatoboaa mbona hongera sana!! Ndio umedinda kuniambia unasomea kozi gani ankoo??π€π€π
Aseee ndo nani huyo ufukunyuku π€£π€£π€£π€£Yaani ππ»ππ»ππ»ππ»πππππ anazijua mwenyewe. Hivi ufukunyuku sijui aliishia wapi? Au UE ilimbana sijui.
Daaa π π π π πSikuhizi ameacha ukorofi ameokoka amekua mtoto mzuri ππ!
Alijua lazima uungane kwenye maandamano ππππ Mzee alikujua. Naona alichoka hapohapo akafurahia, ulipoenda UDSM Chino. Msalimie mzee wa Hall 5 mzee wa Ini π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mshua nilimla chenga ya mwili akaniambia hakikisha unajaza sauti ndo chuo ambacho hakina maandamano au mzumbe nikamuitikia tu!
Nikajisemea Yani nisiendee ishi njia panda ya ulaya kipindi icho mjini nakuja kwa kuvizia vizia
Mdogo ake huyoo tunashukuru kwa kutubless na nimeiotea Penseli 4Hiyo hapo tonnia ππππView attachment 2670261
Hahaha sumbai zimemfikia.Alijua lazima uungane kwenye maandamano ππππ Mzee alikujua. Naona alichoka hapohapo akafurahia, ulipoenda UDSM Chino. Msalimie mzee wa Hall 5 mzee wa Ini π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Huenda yupo tayari kuna new member za kumwaga. Kishakuja kivingine Chino na lazima mnase π π π π
Nougaaa sana ankoo akee sema unyoe nahizo ndevuu banaa ukinyoa utapendeza zaidi ankoo Fanya hivoo!!Hiyo hapo tonnia ππππ
Ndevu zinaficha mengi hizo, π€£π€£π€£π πNougaaa sana ankoo akee sema unyoe nahizo ndevuu banaa ukinyoa utapendeza zaidi ankoo Fanya hivoo!!
Santo sana kuubles mchana mwema anko hakika mchana wangu unaenda kuwa barreeeeeeeeddaaa kabesaaa!!
Barikiwa sana!
πHaya nimekuja mama, ni aje ?Basi Nenda uje huku. Kule ni msibani tutaharibu uzi wa watu.
Poa za kwako. Ulikuwa unanitafuta kumbe. Ukanibamba msibani hatimaye.πHaya nimekuja mama, ni aje ?
Niko powaa,yah nilikutafuta sana mpaka "kukubambia" msibani cha uremboπ, happy belated birthday,Poa za kwako. Ulikuwa unanitafuta kumbe. Ukanibamba msibani hatimaye.
Thank you my friend. Tumepoteana sana. Nimefurahi kukuona tena.Niko powaa,yah nilikutafuta sana mpaka "kukubambia" msibani cha uremboπ, happy belated birthday,