YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Asante auntie 🤗🤗🤗🤗,Hongera pamoja na utukutu, kichwa kina charge naona mdogo ake vizuri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante auntie 🤗🤗🤗🤗,Hongera pamoja na utukutu, kichwa kina charge naona mdogo ake vizuri sana.
Haha yeah na alijua Ni utoto tu ule!Yanii sikuhizi Mitihani ni myepesi sana majibu waziwaziiii.... hao watoto sasa akili zao wanazijua wenyewe tu!
Hahahaaa...Sekond hapo lazima mlikua marafiki;
🤣🤣🤣🤣🤣, ntakuambia siku moja tu, na matokeo yangu nitakupa uyaone just wait 😅😅😅😅😅Yeahhh dakika za majeruhi ukikomaa unatoboaa mbona hongera sana!! Ndio umedinda kuniambia unasomea kozi gani ankoo??🤔🤔😑
Aseee ndo nani huyo ufukunyuku 🤣🤣🤣🤣Yaani 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻😂😂😂😂😂 anazijua mwenyewe. Hivi ufukunyuku sijui aliishia wapi? Au UE ilimbana sijui.
Daaa 😅😅😅😅😅Sikuhizi ameacha ukorofi ameokoka amekua mtoto mzuri 😊😊!
Alijua lazima uungane kwenye maandamano 😂😂😂😂 Mzee alikujua. Naona alichoka hapohapo akafurahia, ulipoenda UDSM Chino. Msalimie mzee wa Hall 5 mzee wa Ini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mshua nilimla chenga ya mwili akaniambia hakikisha unajaza sauti ndo chuo ambacho hakina maandamano au mzumbe nikamuitikia tu!
Nikajisemea Yani nisiendee ishi njia panda ya ulaya kipindi icho mjini nakuja kwa kuvizia vizia
Mdogo ake huyoo tunashukuru kwa kutubless na nimeiotea Penseli 4Hiyo hapo tonnia 😁😁😁😁View attachment 2670261
Huenda yupo tayari kuna new member za kumwaga. Kishakuja kivingine Chino na lazima mnase 😅😅😅😅
Nougaaa sana ankoo akee sema unyoe nahizo ndevuu banaa ukinyoa utapendeza zaidi ankoo Fanya hivoo!!Hiyo hapo tonnia 😁😁😁😁
Ndevu zinaficha mengi hizo, 🤣🤣🤣😅😅Nougaaa sana ankoo akee sema unyoe nahizo ndevuu banaa ukinyoa utapendeza zaidi ankoo Fanya hivoo!!
Santo sana kuubles mchana mwema anko hakika mchana wangu unaenda kuwa barreeeeeeeeddaaa kabesaaa!!
Barikiwa sana!
😍Haya nimekuja mama, ni aje ?Basi Nenda uje huku. Kule ni msibani tutaharibu uzi wa watu.
Poa za kwako. Ulikuwa unanitafuta kumbe. Ukanibamba msibani hatimaye.😍Haya nimekuja mama, ni aje ?
Niko powaa,yah nilikutafuta sana mpaka "kukubambia" msibani cha urembo😍, happy belated birthday,Poa za kwako. Ulikuwa unanitafuta kumbe. Ukanibamba msibani hatimaye.
Thank you my friend. Tumepoteana sana. Nimefurahi kukuona tena.Niko powaa,yah nilikutafuta sana mpaka "kukubambia" msibani cha urembo😍, happy belated birthday,