ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Happy Birthday Mwananchi Bantu Lady long life to you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅 😅 😅 picha picha picha@dronedrake sasa huyu dada ndio wakumlia Nyetto.
Naam muamala wako huku bado haujasoma mkuuA long time ago, in a galaxy far, far away, the best person in the world was born.
Happy birthday, Bantu Lady[emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji7][emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Kuna wana Wanapita kwenye nyuzi hawakomenti chochote wao ni kudownload.😅 😅 😅 picha picha picha
mzee nimecheki peji zote sijaona picha mbona ?Kuna wana Wanapita kwenye nyuzi hawakomenti chochote wao ni kudownload.
Nafikiri fungua Uzi wako utazipata tu.
mpaka miamala isome ndo tutamwachia leo huyu mzee wa hall 5Mambo yao waachie wenyewe mnywaniii 😊😁!!
Unafeli unatakiwa kuwa kama Albino giza linapoanza kutanda we unaanaza kuona sana ktk uzi waomzee nimecheki peji zote sijaona picha mbona ?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 una IDs ngapi kwanza mzee babaUnafeli unatakiwa kuwa kama Albino giza linapoanza kutanda we unaanaza kuona sana ktk uzi wao
Moja ndugu mh. nyeto🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 una IDs ngapi kwanza mzee baba
Hahaha najua akija kivingine uta Ni alert mapema!!!Bila shaka mshasababisha mapema sanaaa rafiki ake sharubu😊😊!!
Mashuka ya kimasaii😊😊😊!!Hahaha najua akija kivingine uta Ni alert mapema!!!
Unajua hili toto linapendeza kulitunza live.
Kila Likijitikisa tu unamwaga mashuka ya kimasai.
Mkuu nipo kijjn huku nimepakiza gunia la viazi mviringo na carrots na matunda damu kwenye bus la shambalai.Naam muamala wako huku bado haujasoma mkuu
Mrembo haswaa.Kheri ya siku ya kuzaliwa kwako mrembo haswa Bantu Lady
Mungu wetu akupe na kubariki maisha marefu yenye tija.
Enjoy ur day.
Aminaaa kubwaaaaa;!! Hivo pia vinaruhusiwaaaaaa😄!!Mkuu nipo kijjn huku nimepakiza gunia la viazi mviringo na carrots na matunda damu kwenye bus la shambalai.
Mamaa la mama atapokea.
Kijjn hamna wakala
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha najua akija kivingine uta Ni alert mapema!!!
Unajua hili toto linapendeza kulitunza live.
Kila Likijitikisa tu unamwaga mashuka ya kimasai.
The future is exciting.. enjoy ur dayAsante sana The Garang pamoja mambo mazuri zaidi yanakuja kule...